Jaman mm matokeo yngu ni haya then nataka nisome koz ya lab technician inawezkana au medical lab
Hist d
Engl d
Civ c
Geo d
Kisw c
Phys f
Chem d
Bios d
Math f
Nisaidieni jaman pia kama haitqwezkan nishaurin ni koz gan nawza piga tofauti na afya japo napenda sana mambo ya afya
Karubu kwa ushauri
No matusi!!
duuh.. kwa uelewa wangu kuna medical lab na lab technician.....ulikua na makusudio gani?
kuna basic technician certificate...sijadanganya!!!!na sijamwambia kama ana sifa...!!!!hana sifa usimdanganye mtoto wa watu, watanganyika eleweni lazima uwe na pass kuanzia D
Tafuta kozi ya Afya inayo endana na Matokeo yako Hope nursing,medical lab,dental unaweza soma kwa diploma!habari za kazi wana jf
mm nilihitimu kidato cha nne 2014 ila sikubahatika kwenda shule tokana na matatizo ya kifamilia ila matokeo yangu yalikuwa kama ifuatavyo:
chemistry-c
biology - c
physics-c
math-e
english-b
kiswahili-b
history-b
geography-c
civics-c
je naweza somea kozi za afya?
kozi ipi ni nzuri kwangu?
japo mm binafsi napenda sana clinical medicine je naweza somea hiyo?
nataraji majibu na ushauri mzuri toka kwenu na mungu awabariki?
Kwa diploma Kozi ya afya huwezi soma kwa matokeo hayo hata certificate sidhani kwasababu hizo F 2 zinakuharibia pia huna C kwa masomo muhimu kwa kozi za Afya kifupi make sure uwe umefaulu Chemistry,Biology,physics,Math na English lang. At least C nakuendelea!Jaman mm matokeo yngu ni haya then nataka nisome koz ya lab technician inawezkana au medical lab
Hist d
Engl d
Civ c
Geo d
Kisw c
Phys f
Chem d
Bios d
Math f
Nisaidieni jaman pia kama haitqwezkan nishaurin ni koz gan nawza piga tofauti na afya japo napenda sana mambo ya afya
Karubu kwa ushauri
No matusi!!
sawa nashukuru kwa hilo.Tafuta kozi ya Afya inayo endana na Matokeo yako Hope nursing,medical lab,dental unaweza soma kwa diploma!
Hapo ameharibu kwenye f ya phy tu D ya chemistry amepass hapoana F ya physics na D ya Chemistry hapo anakosa sifa
hata akirudia hawezipata...maana wanataka MTU ambae ana kikao kimoja tu cha mtihani sio reseterKwa diploma Kozi ya afya huwezi soma kwa matokeo hayo hata certificate sidhani kwasababu hizo F 2 zinakuharibia pia huna C kwa masomo muhimu kwa kozi za Afya kifupi make sure uwe umefaulu Chemistry,Biology,physics,Math na English lang. At least C nakuendelea!
Angalia kozi zingine mkuu ila kama unapenda Kozi za Afya labda urudie mtihani then ufanye vizuri katika masomo hayo
Sawa ndug nimekuelewa ila waweza pia kuniahauri in koz gan marketable naweza kusoma
sawa nashukuru kwa hilo.
nnapenda kusoma clinical medicine.
je chuo cha kolandoto kina elimu nzuri?
Sometimes mambo ya system yanazingua kuwa mpole jaribu baadaejamani mbona nacte inamgomea kwenye kipengele cha ku-choose kozi?