Kozi za Afya 2016/17, Ushauri na maoni

Muhimbili bado hawajatoa post zao?
 
wewe ulini-quote na kuanza kuniambia mimi ni muongo wakat nimesema kitu cha ukweli.
kama nimekukosea naomba unisamehe kaka .tufanye yaishe ndugu ila maelezo niliyokupa ni kweli
 
nimekuelewa....ila point ya kunote ni kwamba ili uende diploma kutoka certificate unatakiwa kua na GPA kuanzia 3.5
 
nimekuelewa....ila point ya kunote ni kwamba ili uende diploma kutoka certificate unatakiwa kua na GPA kuanzia 3.5

Naomba unikosoe kama nitakua nimeelewa vibaya, mtu mwenye certificate (kwa coz za afya) endapo atakua na GPA ya 3.5 nakuendelea atasoma diploma kwa mwaka1 na atakua kutumia miaka 3 kupata diploma yake(ukijumlisha miaka 2 ya certificate).
Ila endapo GPA yake yake ya cerificate ni chini ya 3.5 atasoma miaka 2 kwaajili ya diplo na atakua ametumia miaka 4 kupata diploma yke (ukijumlisha miaka 2 ya certificate)

Je, hivi ndivyo? Nijibu tafadhari
 
hapana. ..kama GPA yake ipo below 3.5 atasoma diploma kwa miaka mitatu...jumla mitano...means certi 2 yrs +diplo 3 yrs
 
hapana. ..kama GPA yake ipo below 3.5 atasoma diploma kwa miaka mitatu...jumla mitano...means certi 2 yrs +diplo 3 yrs

kipande cha mtu mbona unapenda kuposha watu hivyo?ni heri ukae kimya kuliko kupotosha watu.nani aliekuambia kutoka cert kwenda dip lazima upate GPA 3.5?UKU katika kozi za afya Ukipata kuanzia GPA 2.7 unaruhusiwa kwenda diplom.
yaani haiingii akili eti kutoka cert to diploma eti ni miaka 5.
ni bora ukae kimya kuliko kujifanya unajua na kupotosha watu.
mkuu Sizinga@njiwa
 
ebana wakuu samahani,nna mdogo angu ana D-ya phys,chem,bios.ila mathematics kapata F.sasa sikuelewa katika guidance book ya nacte wamesema ni D ya masomo4 katika hayo na mathe pia.je huyu kijana anaweza ombaaa chuo cha govt?
 
Soma tangazo nililoposti hapo juu.
 
Angalia tangazo la Wizara nimeposti hapo juu.
 
Soma tangazo la Wizara ya Afya hapo juu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…