Evans-Arsenal
JF-Expert Member
- Jan 10, 2016
- 868
- 1,385
Aende na NacTe akaulize why system inamtemamkuu alichagua vyuo vya government tu ndio akakosa ila ana div three ya 23 kwa form four 2009 na two subsidiary ya PCB ya mwaka 2013 msaaada hapo please,atumeje maombi wakat system inamtema,please
Ada ndo hizo hamna change yoyote ukifika chuoNINA SWALI, hivi hizo ada walizoandikwa kwenye guidebook ni zenyewe au hua kuna mabadiliko ya ada huko chuoni hapa sana sana naongelea kwa private institutions. naomba kujuzwa naamini hili swali litasaidia wengi
je wanaruhusugu kurudia application kama walikuselect apo awali,ebu ulizia kwa wazoefu then unipe jibu mkuuAende na NacTe akaulize why system inamtema
Mkuu Mkopo inakuwaje kwa aliyeomba kozi za afya je unatolewa na loan board kama vyuo vikuu au kuna utofauti,NDIO UNAKUWA UMEKOSA KABISA NAFASI Labda uombe tena mwezi wa kumi
Yaani nikisema Gov.Sponsored kwamba wewe kuna vitu utatofautiana na Mtu wa Evening kama vile ada ya mtu wa Gvr.ni ndogo kulinganisha na private (evnng), utapewa chumba lakini mtu wa Prvt hata pewa
Mfano Mtu wa Gv.Sponsored sahizi ana Lipa ada kiasi cha Laki 4.5,lakini anajite gemea chakula na hela ya Field! Halafu mtu wa Evening ada Analipa almost 1.5M huku anajitegemea sehemu ya kulala,chakula na hela ya Field
Ngazi ya Diploma hawatoi mkopo loanboard ila nasikia kuna foundation zinatoa mikopo kama mkapa na zingine hapa kwetu hamnaMkuu Mkopo inakuwaje kwa aliyeomba kozi za afya je unatolewa na loan board kama vyuo vikuu au kuna utofauti,
Msaada please
Je kama hakuna Mkopo , je kuna wanaosomeshwa na wizara / serikali na je kama ipo utaratibu ukojeNgazi ya Diploma hawatoi mkopo loanboard ila nasikia kuna foundation zinatoa mikopo kama mkapa na zingine hapa kwetu hamna
Hapana wizara pia haina hicho kitu mkopo kwa diploma ni kazi sana kuupata zaidi ya hizo foundation kama GloabolJe kama hakuna Mkopo , je kuna wanaosomeshwa na wizara / serikali na je kama ipo utaratibu ukoje
Mdogo wangu kaomba kibaha, mtwara na lugalo na ana div 1 point 17 akiwa na B flat pamoja na C moja tu
OK hizo foundation ziko ngapi na utaratibu wa kuomba ukoje?Hapana wizara pia haina hicho kitu mkopo kwa diploma ni kazi sana kuupata zaidi ya hizo foundation kama Gloable
mi pia ndugu.....!!!kuna mdogo wangu ni mhanga kwenye hilije wanaruhusugu kurudia application kama walikuselect apo awali,ebu ulizia kwa wazoefu then unipe jibu mkuu
sasa mkuu umejipangaje kutafuta solution na ukumbuke maombi yote ni online Cas,VP ushauri uliopata kwa wadau wengnemi pia ndugu.....!!!kuna mdogo wangu ni mhanga kwenye hili
Je kama hakuna Mkopo , je kuna wanaosomeshwa na wizara / serikali na je kama ipo utaratibu ukoje
Mdogo wangu kaomba kibaha, mtwara na lugalo na ana div 1 point 17 akiwa na B flat pamoja na C moja tu
solution nenda kafanya direct application chuo husika....!!!sasa mkuu umejipangaje kutafuta solution na ukumbuke maombi yote ni online Cas,VP ushauri uliopata kwa wadau wengne
O level nina Bios C na Chem B ila sikufanya Phys. Nina qualify kusoma course yoyote ya certif ya afya?
2. Utaratibu ukoje kujiunga vyuo vya serikali?
3. Ada za serikali zikoje?
N.B nimemaliza form 4 mwaka 2008. Thanx in advance
Ada ndo hizo hamna change yoyote ukifika chuo
system unamtema kivip? labda yeye bado anakazana na serikali wakati muda umemtupa mkonomkuu alichagua vyuo vya government tu ndio akakosa ila ana div three ya 23 kwa form four 2009 na two subsidiary ya PCB ya mwaka 2013 msaaada hapo please,atumeje maombi wakat system inamtema,please
Nina vigezo hata kama sikusoma physics?kwa serikal muda umekutupa mkono sana broo ww tafuta privatw tu
ww huanzi cheti bali diploma moja kwa moja.
maombi yote hupitia CAS
ndio.zipo.unazoweza somaNina vigezo hata kama sikusoma physics?
Hate me at your own risk!
Ada za serikalini ni vipi?ndio.zipo.unazoweza soma
Ada za serikalini ni vipi?
Hate me at your own risk!