KOVA: Sheikh Ponda atakamatwa muda wowote

Kamanda wa kanda maalum ya Dar es salaama Shehe Selaiman Kova amasema Shehe ponda atakamatwa muda wowote kuanzania sasa.

Akiongea na waandishi wa habari Kova amesema Shehe ponda amakuwa akichochea waumini wa dini yake kuandamana na kuleta vurugu, ameonywa mara kadhaa lakini hajaweza kutii sheria za nchi

Source:Kova

Update:.....................

Inawezekana ponda wanamuogopa inawezekana asikamatwe wala (kuguseswa)

more to follow

Bandugu naombeni msaada wenu nimefungua kamusi zote nimekwama nini maana ya (Kuguseswa) au mtoto anajifunza kuandika.
 
Kova amejuaje waliofanya fujo ni wafuasi wa Sheikh Ponda? Ushahidi unaonyesha viongozi wa Bakwata walikuwepo katika purukushani hizi, sasa Sheikh Ponda anahusishwaje? Kova,Bakwata na Policcm acheni uchochezi, hili jambo linahitaji hekima na umakini mkubwa kulishughulikia na sio kutekeleza matakwa ya Bakwata.
 
Agggrrrr! Umerudi tena JF kudadaki si ulitangaza unaondoka JF ukaanzisha na uzi ukiaanga karibu tena.

Mkuu Chadema sio chama ni kikundi fulani kutoka Kaskazini kinatumia jina la chama kwa ajili ya maslahi ya binafsi.

majibu yako ni kitu sampuli hii

vomit-343.jpeg

Kumbe sasa tunaaanza kupata ukweli kumbe wanachama wa cuf ndio wafuasi wa sheikh ponda kama anavyojieleza ndugu yetu hapo juu
 
hivi ni Mungu gani huyo anayeabudiwa na anapenda maovu hivyo, mwancheni Mungu atajitetea mwenyewe .Mungu wa kweli anatuambia tuwe watii na kama kunajambo lipo kinyume tunajua jinsi ya kuwasiliana naye ambapo ni kwa njia ya maombi ,na wala sio kwa mabavu kiasi hicho
 
Bandugu naombeni msaada wenu nimefungua kamusi zote nimekwama nini maana ya (Kuguseswa) au mtoto anajifunza kuandika.

Pole sana dogo
kajifunze kwanza kiswahili ndo uje hapa
Ndo tatizo la shule za siku hizi voda fasta
 
hatutaki kura za waislamu mbuzi kam ww na ponda ambao mnaleta machafuko nchini, safari hii wakristo hatutaleta tena ujinga wa kuchagua muislamu iwe chadema ama CCM kwani tumejua ni jinis gani mkivyo wajinga pale mnapogundua kuwa kiongozi wa juu ni dini yenu.
Pia hapa hakuna cha uchadema wala Uccm bali hapa ni lazima tuonganishe nguviu wakristo wa vyama vyote ktk kuwaondoa waislamu nyie wenye vurugu, kama unabisha subiria sasa uone jinsi siasa zitakazopigwa kanisani mpaka mtahamia maka na madina.
Hahami mtu hapa, tutabanana humu humu!

:angry:!!!
 
Kila siku najiuliza kwa nini linapokuja suala la Waislam Pro-Chadema JF ndio wanakuwa wa kwanza kuwashambulia Waislam halafu hawa hawa wanataka Waislam waiunge mkono Chadema...hiyo itakuwa ni sawa sawa umkabidhi Nguruwe akuchomee mishikaki.
Niliwahi kuanzisha uzi chadema imejiandaaje kisaikolojia na kimkakati kuzipata kura za waislam lakini baadhi ya mods wenye uelewa mdogo kwa ulevi tu wa madaraka madogo waliyopewa humu eti wakaufunga baada ya lisaa la moja tu,naamini kama uzi ule ungeachwa huu umbumbumbu hawa jamaa zako wanaozani chadema ni yao tu ungekua umewatoka na pia waislam wanaoiogopa cdm kutokana na watu wa cdm kutaka cdm ionekane kama mkombozi wa wakristo wa tanzania kuwatisha pengine hofu hiyo ingewaondoka.
 
Ni wakuwasamehee na kuendelea kuwaombea maana shule nazo sometyms zinasaidia sasa wao wanaona kama wametengwa na nchi ndio maana kutwa vurugu

ndio ninauchukia uislamu na waislamu tena zaidi ya sana, kwani mimi sio mnafiki kama hao wanasiasa wenu na ushabiki wao wanajifichia kivuli cha dini kumbe wapo kwa matumbo yao.

Unataka niupende uislamu na waislamu kwa jema lipi? Hili la kuchoma makanisa yetu kila siku alafu mnategemea tukasalie wapi? Chooni au bafuni?
Hapa hakuna cha ucadema wala uccm bali ukweli ni kwamba wakristo wote nchi nzima tumechukizwa na uislamu haramu wenu wa kuleta vurugu.
 
Tusiwe kama mamba kila kitu tukirushiwa tuna meza, Mungu katupa vichwa kwa ajili ya kufikiri sio kufugia nywele.

Mtoto wa Mbagala kakojolea Quran tukufu baada ya muda fujo zikatokea halafu lawama zinakwenda kwa Ponda, inaama huyo Ponda ndio kapanga hizo fujo Mbagala, kamtuma huyo mtoto akojolee Quran na kuwatuma wafuasi wake ili apate sababu ya kuanzisha fujo Mbagala.

Nipo tayari kulipia wanasheria wanne wa kumtetea Ponda kwenye kesi ya kipuuzi kama hii. Baada ya hapo afungue kesi ya kudai fidia.
 
kumkamata ponda ni sawa na kumkamata imamu abdurahaman as sudeis wa masjid aharam wa makka tutaandamana nchi nzima bora mumkamate simba wala hamtatuona barabarani:director:
 
Tusiwe kama mamba kila kitu tukirushiwa tuna meza, Mungu katupa vichwa kwa ajili ya kufikiri sio kufugia nywele.

Mtoto wa Mbagala kakojolea Quran tukufu baada ya muda fujo zikatokea halafu lawama zinakwenda kwa Ponda, inaama huyo Ponda ndio kapanga hizo fujo Mbagala, kamtuma huyo mtoto akojolee Quran na kuwatuma wafuasi wake ili apate sababu ya kuanzisha fujo Mbagala.

Nipo tayari kulipia wanasheria wanne wa kumtetea Ponda kwenye kesi ya kipuuzi kama hii. Baada ya hapo afungue kesi ya kudai fidia.

the sponsor of uamsho ...
 
hatutaki kura za waislamu mbuzi kam ww na ponda ambao mnaleta machafuko nchini, safari hii wakristo hatutaleta tena ujinga wa kuchagua muislamu iwe chadema ama CCM kwani tumejua ni jinis gani mkivyo wajinga pale mnapogundua kuwa kiongozi wa juu ni dini yenu.
Pia hapa hakuna cha uchadema wala Uccm bali hapa ni lazima tuonganishe nguviu wakristo wa vyama vyote ktk kuwaondoa waislamu nyie wenye vurugu, kama unabisha subiria sasa uone jinsi siasa zitakazopigwa kanisani mpaka mtahamia maka na madina.

Hawa ndio makamanda wa Chadema ukiwajibu tu unaitwa mdini Waislam mbuzi ndio sisi...Copy to zomba, KIM KARDASH, Ngongoseke, Elungata, peri.
 
Last edited by a moderator:
Umenena vema ritz ni bora tuka pambana na hili tatizi bila kuki husisha chama.

Mkuu wangu adolay,
Tatizo humu JF ukiwa muislam ndio unaitwa mdini lakini hakuna mkiristo mdini humu JF.

Mkuu Uislam ni dini ya amani mie binafsi sikubaliani na fujo zilitokea Mbagala kuchoma Kanisa kuaribu mali za watu, yule mtoto kweli kafanya makosa kwa kile kitendo lakini Waislam hawajafundishwa kuaribu mali za watu.

Tatizo kitendo kikifanywa na Muislam moja kikundi wanachanganywa Waislam wote pamoja ni Uislam sie tukitokeza kupinga hayo ndio tunaonekana wadini... Mkuu kuna Wachungaji Mashoga na wanaendesha ibada Makanisani lakini mie siwezi kuwachanganya Wakiristo wote ni makosa.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom