FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 92,893
- 109,227
Yes, ni mimi EMT. Vipi nafaa kuwa mkwe? Au washaolewa wote?
Mmoja kaolewa, na sasa nalea kijukuu, mmoja kisha oa, mkewe anajidai "we have to wait", mmoja anasoma huko wanapaitaje sijui, halafu akajidai kunialika kabla ya winter, nikaenda kumkomoa. Na mie sikukaa nikamwambia aaah baba ki winter hiki sikiwezi, huyu nae bado barubaru hajaoa. Hako kengine ndio juzi kameanza chuo kikuu huko Dubai. Kalimaliza hapa Al Muntazir, MashAllah kamepiga "A" zote kama mamake. Hako hukawezi, kasomi hako, utaweza kukapikia? kukafulia? kukasafishia nyumba? kama yes, ntakuunganisha nako.