kweli kabisa Mkuu, hivi si unaijua ile sekondari ya Mboni? wanafunzi wake wameanza kufundishwa computer kama somo mwaka 2003! hebu angalia afu ufananishe ni secondary gani kubwa hapa Tanzania zinazomilikiwa na serikali zilizofikia juu kitechnolojia kama hiyo..
Wako juu kweli
Ila Mboni mlii kiwatengu inaongoza kwa uhuni watoto wa kike na wa kiume ukikutana nao barabarani ni balaa wamekaa kule mtoni Kitanywe pale wanatongozana muda wa shule na wakitoka shuleni jioni wakifika Kitwanywe wanabadilisha mavazi wanaingia kwenye vibaa pale wanakata kitu na wazee wa pale
Hili lilifika mpaka kwa viongozi wa shule na walikuwa na mpango wa kuifanya iwe boarding kwa watoto wa kike sijui lilishia wapi na wazee wa pale mndenyi ni wakware mbaya
Last edited by a moderator: