Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 78,411
- 170,543
Bro mapenzi yafutwe watu tuwe serious 😄Yafutwe kabisa kabisa kikweli kweliiii?
Bro mapenzi yafutwe watu tuwe serious 😄Yafutwe kabisa kabisa kikweli kweliiii?
kabisa,, na kama una malengo tofauti huku hapakufaiKwakweli Yan we kama unajijua uko weak Bora usiingie
Ndoa sio ya kila mtu.Naona mengi na wananiambia mengi rafiki zangu walio kwenye ndoa na ambao wako kwenye hatua za mwisho za kukamilisha talaka
Naam tutafute pesa tuNdoa zifutwe, mapenzi yafutwe..... tufanye mambo mengine bro.
Mkuu unaharibu FIGO kisa bunye. Daaah naomba nikutukane mtoa post, kmmke. Umekosa mwanamke mwingine.?
Asante Red Black, usinywe pombe kisa mapenzi.Njoo tule bia mkuu
Pamoja mkaliUna hoja