Kosea mambo yote lakini sio kuoa

Kosea mambo yote lakini sio kuoa

Ngoja tuone VAR inasemaje kama kweli upo makini.

VAR

 
Amekufanyeshe tena shem. Mara nyingi huwa unakuja kumsemea humu baada ya kupigwa na kitu
Screenshot_20250308-173302~2.jpg
 
Ngoja tuone VAR inasemaje kama kweli upo makini.

VAR

Naona mengi na wananiambia mengi rafiki zangu walio kwenye ndoa na ambao wako kwenye hatua za mwisho za kukamilisha talaka
 
Kwa Sasa %99 Wanawake Wapo kimaslahi believe me or not.
Hali inatisha sahivi ni aidha umshirikishe Mungu au uhonge akikukubali mzalishe upate lineage, ila kuweka pie kwamba una mke/ life partner io inabidi uitoe akilini..

Maana almost all of them are materialistic ukisema usubiri a good woman utafika 50 years huna mtoto bless on
 
Back
Top Bottom