ndoa zimeharibu maisha ya vijana wengi sana.Una habari kuna wanawake nao wanajutia kuolewa? Madhara ya ndoa hayapo upande mmoja.
Kuna wanawake waelewa na wabivu kama ilivyo kwa wanaume.
Hoja iwe kuna hasara kuingia kwenye ndoa na mtu asiyesahihi.
Kwa Sasa %99 Wanawake Wapo kimaslahi believe me or not.Una habari kuna wanawake nao wanajutia kuolewa? Madhara ya ndoa hayapo upande mmoja.
Kuna wanawake waelewa na wabivu kama ilivyo kwa wanaume.
Hoja iwe kuna hasara kuingia kwenye ndoa na mtu asiyesahihi.
Pole sana mkuu bila shaka sasa unatuelewa sisi wenye mrengo wa KUKATAA NDOA
Hawa ndio wanaanza
Kosea mambo yote lakini si "kuleft group/kusaliti uanaume/kuwa shoga".