Kosa ninalojutia maishani mwangu!

Kosa ninalojutia maishani mwangu!

Majaribu2013

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2013
Posts
952
Reaction score
1,050
#Majanga

Katika kosa ambalo linajutia maishani mwangu ni kutumia $25,000/= sawa na Tshs 40,700,000/= kuhonga/kununulia mademu kwa muda miaka 4 yaani toka mwaka 2009 mpaka sasa, najitahidi sana nipone huu ugonjwa lakini naona bado unanisumbua.

Nisaidieni ushauri.
 
Kwanini ujute...kweni wapewa bure. Its give n take...
 
Mbona hela ndogo sana hiyo kwa muda wote huo, isitoshe si ulifaidi miili yao. Btw hiyo ndio kazi ya pesa
 
^^
Kila nikifuatilia thread zako,,huwa nina mashaka sana kuchangia.
^^
 
Unajutia nini sasa, si ulikuwa unatoa na wewe unapewa, na haitakiwi kupiga hesabu kwani wao wakiupigia hesabu ya dhahabu uliyokuwa unachimba kwenye migodi yao? hayo ndo matumizi ya hela eti
 
Ukiambiwa" its possible to reverse the case" will you be able to accept???
 
mbona ndogo sana kwa miaka 4 mi kuna mtu alinilipia ada ya chuo kwa miaka mitatu,hela ya matumizi kwa miaka mitatu na mashoping yote akicmamia yy mimi pk angu ilomcost km million 40 na still nikamtosa apo cjui wenzangu walikula sh ngapi
 
Grow up

#Majanga

Katika kosa ambalo linajutia maishani mwangu ni kutumia $25,000/= sawa na Tshs 40,700,000/= kuhonga/kununulia mademu kwa muda miaka 4 yaani toka mwaka 2009 mpaka sasa, najitahidi sana nipone huu ugonjwa lakini naona bado unanisumbua.

Nisaidieni ushauri.
 
mbona ndogo sana kwa miaka 4 mi kuna mtu alinilipia ada ya chuo kwa miaka mitatu,hela ya matumizi kwa miaka mitatu na mashoping yote akicmamia yy mimi pk angu ilomcost km million 40 na still nikamtosa apo cjui wenzangu walikula sh ngapi

Nuke ndio huwa mnawatia watu presha
 
Endelea kubaki na mashaka watu kama nyinyi hata Mungu hawapendi wenye mashaka

^^
Teh teh mambo mawili uyakumbuke,,
1.Kama kweli haya matatizo yote huwa yanakukumba,basi Mungu akuone,,ila kama siyo yote muogope Mungu,,maana hakuwahi kumpa mwanadamu majaribu yapitayo kimo chake.
2.Kuwa na mashaka ktk ulimwengu halisi,,ni kujiweka mahala salama..kasome tena Intelligencia foundation utakutana na kitu kinaitwa Maharubu..kitakusaidia sana.
Otherwise Mungu anatupenda sote,mwanadamu hajawa na uwezo bado wa kumsemea Mungu.
^^
 
Mkuu pole kwa majuto kwani ni mjukuu, ila tunaomba mchanganuo wa matumizi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom