Mehek
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 7,473
- 10,432
Hongera kumbe we babuMimi kavu nimeanza kula enzi za mzee mwinyi. Sasa hivi nimechoka kavu nataka kuanza kutumia na vitafunwa.
Hongera kumbe we babuMimi kavu nimeanza kula enzi za mzee mwinyi. Sasa hivi nimechoka kavu nataka kuanza kutumia na vitafunwa.
Mhhh ulikutana na aliyetoka mndeni huyoooAaàh wapi wakati chuo wifi yako alikuwa ananisumbua tena usiku kumsindikiza kuchukua.
Haya bhana now itabdi nikiingia jf nikwambie shikamoo baba mdogo maana mmmSema vidole tu hivi vinapenda ujana...ila nakaribia kuritire jovitha
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] sasa ndo vitafunwa vikazaa matunda shem lawama za nini?Mimi kavu nimeanza kula enzi za mzee mwinyi. Sasa hivi nimechoka kavu nataka kuanza kutumia na vitafunwa.
Hivi si mnaulizaga afu mnaambiwa nipo safe Ila still baada ya week mnaambiwa siku zangu sizioni? Afu sio yule permanent gal wako. It's high time mje na resolution sio kumtegemea tu kuuliza "upo safe". Teh nina brod yeye ana App ya period tracker ya gal wake kwenye simu, so hawanaga matatizo. Kama unapenda matusi na hutaki kuwa baba, better do that.Kwa hiyo boy/dogo alitakiwa kuuliza right? Kama aliambiwa siku ni safe?
Nmekuelewa saana HS. Msalimie mama mwambie yule shemeji ya wa kibanda umiza kammiss.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] sasa ndo vitafunwa vikazaa matunda shem lawama za nini?
Koh sometimes ni mitego ya pesa eeeh? Let me be open.Hivi si mnaulizaga afu mnaambiwa nipo safe Ila still baada ya week mnaambiwa siku zangu sizioni? Afu sio yule permanent gal wako. It's high time mje na resolution sio kumtegemea tu kuuliza "upo safe". Teh nina brod yeye ana App ya period tracker ya gal wake kwenye simu, so hawanaga matatizo. Kama unapenda matusi na hutaki kuwa baba, better do that.
Salamu zimefika, kasema nikusalimie pia
[emoji645] [emoji639]Kwani wewe wa 90 na ngapi vilee
Sasa si bora akudanganyishie hivyo, ukimpa hela ndo yameisha. Unakuta umepita sehemu mbili, kote huna future afu wote wamenasa kweli na hawana mpango wa kutoa, jicho litakavyokutoka. Au una mtu na mmefikia stage ya mbali, siku unaamua Uonje pembeni ndo na kitumbo kinatick weeeKoh sometimes ni mitego ya pesa eeeh? Let me be open.
Anaekti imenasa kumbe hamna ili urushe 180k ya kuabort(vumilia hii lugha) then anaiweka mfukoni.
Haya nimeneemeka kusikia hivyo.
With time my dear utaelewaNdiyo wapi huko
Mnateteana eeeehMi nahisi dogo kabambikiwa tu...
Yani Mkemia mkuu na ujanja wote huo unashindwa kumfundisha dogo maujanja?
Duuh..Sasa si bora akudanganyishie hivyo, ukimpa hela ndo yameisha. Unakuta umepita sehemu mbili, kote huna future afu wote wamenasa kweli na hawana mpango wa kutoa, jicho litakavyokutoka. Au una mtu na mmefikia stage ya mbali, siku unaamua Uonje pembeni ndo na kitumbo kinatick weee
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji85]Kwangu pia ninja haiwezekani ke kaona mwanya akatega dogo akaingia.