Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 34,954
- 80,256
- Thread starter
- #121
Kwanini tarehe ikipita hata siku moja usimshirikishe mwenzako hata kama sio kureport kutokuziona basi iwe kumwambia ili mzisikilizie wote?Inakua wanajisikilizia kwanza kabla hawajasema ili kujipa uhakika
Haha maswali mengi .usinichoke kuna kitu nataka kupata.