Labda my shem[emoji38] [emoji38] [emoji38]Hahah...kwamba zilifutika kwanza au?
Yaap na si vizuri kutumia Condomndio mimba imeingia sbbu ya utamu walee tu hakuna namna
hivyo eeh umenifundisha kitu nilikua sijui kumbe condom ni nzuriYaap na si vizuri kutumia Condom
Utakulaje pipi kwenye ganda lake? Utasikiaje utamu sasa[emoji85]Yaap na si vizuri kutumia Condom
Haaa wew watu wanaangalia kalenda mshahara utatoka lini.. Wakae tena chini waanzr kuhesabu lini wataingia Siku za hatari lkn kiukweli mm hata ukiniamsha manane ya usiku kalenda yng naijua lkn nikiwa na mwenzi km sina huwa sifatilii coz huwa sinaga ziara za kushtukizaInakuaje mwanamke over 20 unashindwa kujua calender yako?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Na Condom inakuwa sio tamu
Inasabisha tatizo kubwa la kukosa UTAMU HALISIhivyo eeh umenifundisha kitu nilikua sijui kumbe condom si nzuri
Kwani mwanamke siku anangalia kwa kuhofia hayo tuu?Haaa wew watu wanaangalia kalenda mshahara utatoka lini.. Wakae tena chini waanzr kuhesabu lini wataingia Siku za hatari lkn kiukweli mm hata ukiniamsha manane ya usiku kalenda yng naijua lkn nikiwa na mwenzi km sina huwa sifatilii coz huwa sinaga ziara za kushtukiza
Tutaletamo na matoke bhana wakati wa uzazi, akitoka mupambane[emoji38] [emoji38] [emoji85]Shem kulea sio kwa muchezooo LoL
Huwa inakuwa hvi p huwa sometimes inabadilika sasa anavyokuja kukwambia baada ya Siku nyingi kupita anakuwa anasubiria lbd ataona si wote kil mwezi wanapata p. Tarehe zinafanana hua zinachangeShem usicheke hili ni tatizo na linasababisha mimba nyingi kutelekezwa.
Look. Umesex na ke ambaye tarehe 11.4.2017 anaingia p. Cha kustaajabisha anakuja kukuambia tarehe 28.4 eti hazioni siku zake. Why asingesema tarehe 11 au 13 !!
Weeee hajasema hivyo. Rudia kusoma[emoji85]hivyo eeh umenifundisha kitu nilikua sijui kumbe condom ni nzuri
BigBro nimekuelewa nitalifanyia kazi na baby kumbe tunakosa mautamuInasabisha tatizo kubwa la kukosa UTAMU HALISI
hivi amesemaje kwanWeeee hajasema hivyo. Rudia kusoma[emoji85]
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] spare my ribs shemelaIngekuwa mimi. Eti sizioni siku namwambia ulikuwa unaziangalia za kazi gani?
Huwa inakuwa hvi p huwa sometimes inabadilika sasa anavyokuja kukwambia baada ya Siku nyingi kupita anakuwa anasubiria lbd ataona si wote kil mwezi wanapata p. Tarehe zinafanana hua zinachangeShem usicheke hili ni tatizo na linasababisha mimba nyingi kutelekezwa.
Look. Umesex na ke ambaye tarehe 11.4.2017 anaingia p. Cha kustaajabisha anakuja kukuambia tarehe 28.4 eti hazioni siku zake. Why asingesema tarehe 11 au 13 !!
Uwiiii usafi wa nn sasa na wewe shem na isafi ni wa kila siku? Ni kwa ajili hiyo tu na weweKwani mwanamke siku anangalia kwa kuhofia hayo tuu?
How about usafi wako? Je afya yako?