Kafanyaje mama ykoMaa maa yangu...
Niamkie
Shikamoo babuu[emoji85] [emoji85]Maa maa yangu...
Niamkie
[emoji23] [emoji23] [emoji12] [emoji12] ili iweje !??Marahabaaaa.
Hii shikamoo iishie hapa eeh. Huko nje unanambia mambo!
Unashangaa nnNimejikuta nashangaa
Sema mimi niliona kategwa...Alitakiwa kuuliza!!! Sio wadada wengi wanaofuatilia kalenda!!! Ni wale wa kwenye ndoa na wanaokwichikwichi mara nyigi. Kama mkaka inabidi mtumie tu kinga au vidonge.
Na ishu za siku ya hatari huwezi jua mara moja, unatakiwa ujue kama mzunguko wako uko stable... Anaweza dhani ni siku salama kumbe sio
Inawezekana kabisa usijue kwasababu unakua haufatilii coz iyo michezo unakia huicheziInakuaje mwanamke over 20 unashindwa kujua calender yako?
Wala hapo mwanamke sio wa kulaumiwa..... Je kama siku zake zinabadilika badilika akajua yuko salama kumbe sivyokosa la mwanamke anatakiwa ajue mzunguko wake kama yupo kwenye danger amwambie jamaa avae condom
Jukumu ni la mwanaume? Atajuaje kama umejiamini ndiyo maana haujaongea kuhusu kinga.Inawezekana kabisa usijue kwasababu unakua haufatilii coz iyo michezo unakia huichezi
Usimlaumi aliyebebeshwa mlaumu mwanaume ambae hakutembea na kinga
Kawaida sifi haraka teh tehUmri kiduchu
Inakua wanajisikilizia kwanza kabla hawajasema ili kujipa uhakikaNa kwanini wanawake(wengi) mnatabia ya kukaa muda mrefu ndiyo mnasema hamjaziona siku?