Kosa ni la mwanaume au mwanamke?

Kosa ni la mwanaume au mwanamke?

Unauzoefu juu ya hili eeeh.

Juzi huko Dar niliskia kuna binti kafariki kwa haka kamchezo aseeh
mm sina uzoefu ila nimesema tu halaf uende zile za maana sio local
 
sijaiskia nitakuja pm unipe story vizuri, ila pole sana kwa yaliyokukuta ndio uanaume utumiage condom
Haha umeanza u crazy wako eeeh. Ndio uanaume kubeba mimba au kubebesha?

shem jje's kweli unakiacha hiki kiumbe kiendleee kunitukana?
 
Haha umeanza u crazy wako eeeh. Ndio uanaume kubeba mimba au kubebesha?

shem jje's kweli unakiacha hiki kiumbe kiendleee kunitukana?
kubebesha banaah halaf nimekwambia ukweli unaniambia nimekutumia

Daby ukomeeeeee kuchovya kavu au ndio kula pipi na maganda yake jaman hapa sasa kweli nimekutukana
 
kubebesha banaah halaf nimekwambia ukweli unaniambia nimekutumia

Daby ukomeeeeee kuchovya kavu au ndio kula pipi na maganda yake jaman hapa sasa kweli nimekutukana
Mimi kavu nimeanza kula enzi za mzee mwinyi. Sasa hivi nimechoka kavu nataka kuanza kutumia na vitafunwa.
 
Kosa ni lao wote. Kila mtu anatakiwa kuwa responsible na maisha yake. Huna future na mtu, hutaki mtoto naye and hujui afya yake, yakikupata utamlaumu nani? You know wanawake ni irresponsible, sijui wanawategea mimba, why not taking precautions? Otherwise jiandae kuitwa baba kila usiku na mchana, ilhali unaona huna hatia. Usipojifunza kuwa responsible na maisha yako, basi utaendelea kusuffer consequences za mistakes za wengine
 
Kosa ni lao wote. Kila mtu anatakiwa kuwa responsible na maisha yake. Huna future na mtu, hutaki mtoto naye and worse enough Hujui afya yake, yakikupata utamlaumu nani? You know wanawake ni irresponsible, sijui wanawategea mimba, why not taking precautions? Otherwise jiandae kuitwa baba kila usiku na mchana, ilhali unaona huna hatia. Usipojifunza kuwa responsible na maisha, basi utaendelea kusuffer consequences za mistakes za wengine

Kwa hiyo boy/dogo alitakiwa kuuliza right? Kama aliambiwa siku ni safe?


Nmekuelewa saana HS. Msalimie mama mwambie yule shemeji yake wa kibanda umiza kammiss.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom