Kosa ni la msaliti?

Eeh ndiyo muuzaji
ambae kwa mada hii
ni huyo tapeli wa mapenzi

Mara ya mwisho ulisema unanitafutia mchumba ni meghairi🀣🀣

Sawa bro

πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Nami sikuwa na haraka. Nisingekubali kumpa Tunu mtu asiyemvumilivu au anayeweza kubadili mawazo muda wowote
 
Kwa mtazamo wangu makosa yapo kwa wote, in short katika dunia ya hivi sasa iliyojaa ulaghai na utapeli kumwamini mtu kupitiliza awe mpenzi au rafiki ni kosa la kimkakati, watu wengi siku hizi wamekuwa wabinafsi kupitiliza wenye kujijali wao binafsi, utu umepotea, ukiwa katika mahusiano na mtu inabidi kukaa kimachale, kosa la huyo dada ni kumwamini jamaa kupitiliza na kosa la jamaa ni kutumia udhaifu huo kufanya alilofanya itoshe kusema mahusiano (ndoa ikiwemo) hivi sasa yamekaa kimtego mno, ni vyema kuishi kwa akili sana na kuchukua tahadhari zote, wanaume na wanawake wanaotapeliwa kwenye mahusiano ni wengi, matapeli kotekote
 
Ninachofahamu utapeli na ujinga wa mapenzi uko pande zote mbili ili kwa wanawake vitu vyote viwili vimezidi zaidi
 
Aisee hiki ni nini?
Watu tumeifanya dunia kua shagala bagala πŸ™Œ
Hakuna kuaminiana tena
 
Ninachofahamu utapeli na ujinga wa mapenzi uko pande zote mbili ili kwa wanawake vitu vyote viwili vimezidi zaidi
Sisi tumezidi sana kua wajinga eeh?
 
Just imagine darling yaan kwa scenario kama hiyo et bado mtu ana mlaumu victim badala kushangazwa na huyo tapeli mwanamke

Mi hua najiuliza watu wana waza vipi jamaniπŸ™Œ

Wewe ni twin mama kuna vingi tunafanana binti kiziwi
Tunapaswa kubadilika mama, labda hivi ndivyo dunia ilivyo πŸ₯Ή
 
Umeandika falsafa kubwa sana, i hope ushapata buku lako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…