kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,363
- 16,092
- Thread starter
- #41
Matajiri nyie wakuogopwa mno, ukinitoa kafara🥲🥲Usiogope upo na tajiri wa kigamboni hapa
Matajiri nyie wakuogopwa mno, ukinitoa kafara🥲🥲Usiogope upo na tajiri wa kigamboni hapa
Kwanini tumelala wote😁😁Sitaki nataka wewe😅
Hivi tumesalimiana kweli?
Si ndiyo mkuu😁Unaziangalia mbingu!
KivipiMtakua lini?
🙂↕️🙂↕️💔Huyu mtu kupenda penda kununuliwa chakula kutakuja kumponza tu, wala siku si nyingi
Basi niombee na Mimi nije kuwa mumeo Mwema!Si ndiyo mkuu😁
Hapana siwezi kufanya hivyo 😎Matajiri nyie wakuogopwa mno, ukinitoa kafara🥲🥲
Last time umekula msosi wa ex wako halaf ukakimbia kunyanduliwa..kesho yake ykapanda tena boda boda yake. We ngoja tu🙂↕️🙂↕️💔
😁😁sasa si kampani tu mkuuNi lako kwann ukae na mbaba ambae sio wako
Inawezekana vishamponza hasemi tuu!Huyu mtu kupenda penda kununuliwa chakula kutakuja kumponza tu, wala siku si nyingi
😁😁💔Hapana siwezi kufanya hivyo 😎
Nyuzi zake kadhaa ana swagg hiz halaf anaruka ruka kuliwa vyake. We ngoja tuInawezekana vishamponza hasemi tuu!
Hamna bado mkuu nimeacha kwanzaInawezekana vishamponza hasemi tuu!
Hayo mambo ya kitambo mkuu sifanyagi hivyo tenaLast time umekula msosi wa ex wako halaf ukakimbia kunyanduliwa..kesho yake ykapanda tena boda boda yake. We ngoja tu
Mjanjamjanja sana!Nyuzi zake kadhaa ana swagg hiz halaf anaruka ruka kuliwa vyake. We ngoja tu
Mbona bado tunaona trail yako ,we hubadiliki 🤣Hayo mambo ya kitambo mkuu sifanyagi hivyo tena
🥲🥲💔Mjanjamjanja sana!
Sasa si nahadithia tu jamani🥲🥲Mbona bado tunaona trail yako ,we hubadiliki 🤣
Una mwisho wakeMjanjamjanja sana!