Mbu
JF-Expert Member
- Jan 11, 2007
- 12,753
- 7,845
Haya Mbu nami nakujibu kama Lawyer wako alivyofundisha. Jibu ni HAPANA kwa sasa najiona nimeondokana na hiyo guilty consciousness.
...nice, nice...hatua ya pili ni kujiaminisha kosa halikuwa lako.
Haya Mbu nami nakujibu kama Lawyer wako alivyofundisha. Jibu ni HAPANA kwa sasa najiona nimeondokana na hiyo guilty consciousness.
Hapana kipipi Soulmate wa Mbu yuko gado, yaani hapa ametua moyo kabisaa so usipate presha!
MwanajamiiOne aliiuliza hili wakati akitathmini maisha yake ya kimapenzi huko nyuma. Kwa nini alikuwa ana-make the same mistake!
"Kila binadamu ana udhaifu na Udhaifu wetu mara nyingi ndio unaotufanya tukaachwa kwa kuchagua wenza wasioweza kuvumilia kuishi na udhaifu wetu, kwahiyo kwenye kutathmini mwenza mpya hakikisha kwanza unaanza kwa kutathmini udhaifu wako na badili yake usifikirie sana kutibu udhaifu wako (japo jitahidi) kwani kama ni tabia yako basi unaweza ukashindwa njiani lakini badili yake mtafute mwenza ambae anaweza kuvumilia kuishi na udhaifu wako" mwisho wa kunukuu ( translated version).
Wakuu, espesheli Mbu na soulmate wake MJ1.
Leo bana niliongea na kishoka flani kutokea Romania ambae CV yake inaonesha mpaka sasa keshamwagwa mara tatu na wanaume watatu tofauti (mmoja kati yao ni muimbaji wa gospel huko kwao) baada ya kumuelezea hii sredi kwa kifupi kwanza alitoka kijasho chembamba, halaf akaomba maji akanywa, halaf akaniomba nimpatie sigara, halaf baada ya rushwa ya fegi jamaa akanipatia maelezo haya.

Baada ya kutoa ufafanuzi huo, kishoka akadai nimuongeze fegi kwani nimemkumbusha mastress ya long time.
Blaki womani bila mkorogo,dawa chungu.......hapo kwenye uvumilivu ndipo kunaleta shida......unakuta unajitahidi kuvumilia udhaifu wake lakini udhaifu wako kwake kosa.... ndio uliopelekea hata huyo kishoka akabadili wamefika 3
Wakuu, espesheli Mbu na soulmate wake MJ1.
Leo bana niliongea na kishoka flani kutokea Romania ambae CV yake inaonesha mpaka sasa keshamwagwa mara tatu na wanaume watatu tofauti (mmoja kati yao ni muimbaji wa gospel huko kwao) baada ya kumuelezea hii sredi kwa kifupi kwanza alitoka kijasho chembamba, halaf akaomba maji akanywa, halaf akaniomba nimpatie sigara, halaf baada ya rushwa ya fegi jamaa akanipatia maelezo haya.
"Kila binadamu ana udhaifu na Udhaifu wetu mara nyingi ndio unaotufanya tukaachwa kwa kuchagua wenza wasioweza kuvumilia kuishi na udhaifu wetu, kwahiyo kwenye kutathmini mwenza mpya hakikisha kwanza unaanza kwa kutathmini udhaifu wako na badili yake usifikirie sana kutibu udhaifu wako (japo jitahidi) kwani kama ni tabia yako basi unaweza ukashindwa njiani lakini badili yake mtafute mwenza ambae anaweza kuvumilia kuishi na udhaifu wako" mwisho wa kunukuu ( translated version).
Baada ya kutoa ufafanuzi huo, kishoka akadai nimuongeze fegi kwani nimemkumbusha mastress ya long time.
dawa chungu.......hapo kwenye uvumilivu ndipo kunaleta shida......unakuta unajitahidi kuvumilia udhaifu wake lakini udhaifu wako kwake kosa.... ndio uliopelekea hata huyo kishoka akabadili wamefika 3
Blaki womani bila mkorogo,
kama umemsoma vizuri kishoka ameegemeza habari yake zaidi kwa anaetafuta na ambae ndie alieumizwa kwenye past mahusiano. Kwavile muumizwaji tayari anajijua nafsi yake, yeye anasisitiza zaidi muumizwaji ili asiumizwe tena basi amsome mwenza wake espesheli kwenye hiyo idara ya kuvumilia udhaifu wa muumizwaji.
Nina mpango wa kumfata tena afafanue zaidi lakini dah! anapiga virungu vya fegi sana bana. Anatisha!
ila, najiuliza.....kwakuwa anajikubalisha mapungufu yangu (sijui atavumilia kwa muda gani yarabi,) itanilazimu na mie nijikubalishe mapungufu yake? au hii formula ina uzani upande mmoja tu?
Mbu wa malaria,.