Kosa la Rugemalira ni nini ?

Kosa la Rugemalira ni nini ?

Asante sana kwa haka kaufafanuzi. Sasa kaakili kangu kanaanza kufunguka maana nami nilikuwa najiuliza hivi kosa la Ruge ni lipi? Mwisho nilijpa majibu kwamba hana kosa ndio maana bunge halihangaiki naye, bali linahangaika na hao waliopewa mgao. Lakini hapo hapo nikajiuliza kama Ruge hana kosa ni kwa nini agawe sehemu ya pesa zake kwa watu mbali mbali wakiwemo viongozi wa serikali? Wewe kama pesa ni zako kihalali na umezipata kiuhalali, kuna sababu gani ya kuwapa watu takrima? lakini kwa haka kahoja kako mkuu naanza kufunguka.
 
1. Bado sioni shida iko wapi, hizo 70% ya IPTL ambazo unasema sing sethi kanunua kimagumashi zilikuwa za serikali? Bado masuala yote ya ndani ya IPTL, Mechmar etc, ni mambo ya private sector! Rugemalira hajadeal na serikali yeye ame-deal na PAP! vile vile kwenye suala la Rugemalira kumpinga sethi ni hivi: Rugemalira alikuwa na kesi na IPTL akitaka IPTL ifilisiwe na yeye apate haki zake i.e 30% ya value ya IPTL. Singh sethi alivyokuja hakuweza kununua zilie 70% kwa sababu ya kesi ya rugemalira mahakamani, ikabidi kwanza sethi aelewane na Rugemalira kwa kumpa advance ya 7Mil USD, na ndipo Rugemalira akaondoa kesi mahakamani iliyomuwezesha sethi (and for that matter anyone else) kununua hisa za Mechmar/PiperLink, hata ukiangalia timeline of events unaweza kuona kuwa hata deal yenyewe kati ya sethi na Rugemalira ilifanyika BEFORE hii mambo ya escrow account.
Sio za serikali lakini usisahau kwamba serikali walikuwa na big interest kwa IPTL coz' tayari kulishakuwa na pesa za Escrow ambazo zilikuwa zinatoka TANESCO... hii issue ilikuwa not yet resolved hususani tukiangalia suala la capacity charge. Kwahiyo, ingawaje IPTL haikuwa na sio ya serikali lakini serikali ilikuwa na nafasi yake ndani ya IPTL. Sio hivyo, kama nilivyosema hapo awali, tayari IPTL iliwekwa chini ya Mufilisi... na mufilisi ni RITA ambae pia ni serikali... kwa mara nyingine, bado utaona ushawishi wa serikali kwa IPTL. Sasa basi, bado tunarudi kule kule...ndani ya Escrow account (resulted from IPTL Saga) kuna billions of Tanzanian shilings zinazotoka kwenye sekta ya nishati halafu tena tunaona Rugemalila analipa millions of Tanzanian Shillings kwa government officials ambao kwa kiasi kikubwa wanahusika na ama sekta ya nishati au mikataba ya serikali...NO, there must be something!! Come on man, we ain't talking of petty cash here but millions of Tanzanian shillings no one can offer it for free! I know you jMali... u're not this blind... user ID yangu inaweza kukuchanganya lakini kama unaweza kusoma between the lines, kwa makusudi kabisa wala sijabadilisha sauti yangu... ukiwa makini utajua unaongea na nani... you're not that blind tunapokutana kwenye mijadala ya Rwanda vs Tanzania!! Aidha, ni kweli kabisa kwamba Ruge haku-deal na serikali lakini kalipa millions of $ kwa government officials unless kama statement zinazotolewa hapa si za kweli... ana biashara gani nao hawa?

Sijakuelewa unaposema hata ukiangalia timeline, utagundua deal ya Ruge na Seith ilikuwa before Escrow? Before Escrow kivipi? I hope this's not your first time to know Escrow started to operate since 2006... but if you mean before Escrow Saga, then the answer is simple... Escrow Saga ilikuja baada ya mambo ya ajabu ajabu kufanyika... mosi, pale ilipogundulika IPTL ambayo ilikuwa chini ya mufilisi inapigwa bei, pili, Mechmar yenyewe walikuwa na kesi na creditor wao (Standard Chartered Bank Hong Kong) na hivyo hawakutakiwa kuuza IPTL... lakini baada ya kuzama zaidi, tukakuta wale wale waliopewa jukumu la IPTL ndio hao hao ndio waliopewa millions of money na Ruge... mbaya zaidi, wakati Ruge na 30% yake analipwa Millions of Dollar na PAP, IPTL inauza 70% yake kwa dola chini ya elfu nne... kisha tena unakuta Ruge yule yule kamlipa millions of shillings officer wa TRA ambae aliwajibika kujiridhisha na thamani rasmi ya hisa za IPTL ili tupate capital gain tax inayostahili!!! Nachelea kujaza kurasa ningefafanua intuition yangu kuhusu mchezo ambao ulichezwa na Seth kwa kushirikiana na Ruge! Kwa kifupi tu, kuna uwezekano mkubwa kwamba pesa ambayo ingetumika na seth kulipa Capital Gain ndiyo iliyotumika kumlipa Ruge na hili mchezo ufanyike, ndipo Ruge akaamua kumpa chake ofisa wa TRA.

2. Afadhali tunakubaliana kuwa hakuna msingi wowote wa kuchunguza fedha binafsi za mtu zinakwenda wapi.
Hapana... hatujalubaliana na hatuwezi kukubaliana! Nilichosema ni kwamba, ingawaje ni kweli Ruge pesa ni yake na ana haki ya kutumia anavyotaka yeye lakini tunapoona kawalipa maofisa wa serikali ambao kwa kiasi kikubwa wanahusika kwenye saga lililopo, NO... lazima tu-question hayo matumizi!
Pili, hakuna taarifa yoyote rasmi inayothibitisha kuwa Rugemalira amewalipa watu gani fedha isipokuwa hizi picha picha za JF. Mtu pekee ambaye inajulikana kuwa kapokea fedha toka kwa Rugemalira ni taasisi ya elimu inayoendeshwa na mama tibaijuka, ingawa baadhi ya watu wanataka ieleweke kuwa zimeingia mfukoni mwa mama Tibaijuka personally! Na sababu pekee inayofanya tujue ni kuwa FEDHA HIZI ZILITOLEWA WAZI WAZI! Hii inaonyesha kuwa mtoaji na mpokeaji wote hawana la kuficha.
Hapa nakubaliana na wewe lakini as long as Escrow akaunti imekuwa emptied to IPTL shareholders with $ 0 to TANESCO bila kuambiwa mgogoro wa service charge umeishaje, hiyo ni sababu tosha kabisa kuonesha kwamba kuna tatizo, tena si dogo!!! Sasa inapotokea taarifa kwamba XYZ amelipwa na Ruge kwa biashara isiyofahamika, tena XYZ wenyewe ni wale wale ambao, ikiwa lengo ilikuwa ni kuchafua watu tu, basi wengine wala wasingeonekana. Mathalani, why should you include Paul Kimiti? Why should the bank statement show hadi watoto wa Ruge... nature ya majina inatufanya wengine tuamini kwamba the uploded bank statements might be legit.
tatu, hao watu wanaodaiwa kupewa fedha mbona haionekani kivipi wanaweza kuwa part of escrow account transaction? Hivi mama tibaijuka alipwe bilioni ili afanye nini? Askofu kilaini? Andrew chenge? Roles zao ni zipi kwenye hili sakata? Rejea tena: Rugemalira had 30% of IPTL na hizo ndizo alizouza, na angeweza kuuza kokote kule kwa bei hiyo hiyo, mitambo ya IPTL ubungo pale ni zaidi ya 250mil USD, hivyo hata IPTL ingefilisiwa rugemalira angepata roughly the same amount. Sasa hawa watu wote tunaoambiwa wamehongwa na rugemalira, wamehongwaje?
Hawa ni miongoni mwa wale wanaoonekana kwenye uploaded bank statements:
1. Kuna watu wawili wa RITA... IPTL iliwekwa chini ya mufilisi (RITA) kwahiyo huwezi kuiuza IPTL bila kuihusisha RITA

2. Kuna watu wawili wa TRA... tunaambiwa kwamba PAP imemenua 70% ya hisa za IPTL kwa pesa isiyofika hata sh. milioni kumi! Hapa mtu anaweza kusema, ikiwa IPTL ni mali binafsi basi wana haki ya kuuza bei yoyote waitakayo... jibu HAPANA... hawawezi! Anyway, mali ni yao kwahiyo wanaweza kuuza hata kwa $ 100 lakini ikitokea hivyo, TRA watakachofanya ni ku-revalue mali iliyouzwa (for this context IPTL). Kama thamani say inakuwa $ 100 million , watakachofanya TRA ni kusema "we no problem na wewe ikiwa umeuza kampuni yako kwa dola 5000 lakini kodi yetu utalipa sawa na mali iliyouzwa $ 100 million!!!" Why? Kwa sababu isije mtu anasema amenunua kwa $ mia moja ili akwepe kulipa kodi stahiki! Hata watu wadogo kama sisi tukiangiza hata gari ya $ 10,000/- ukifika pale custom TRA watakuambia, NO... hii gari thamani yake ni $ 20,000 na utalipa kodi kama gari yenye thamani ya $ 20,000!!!

3. Chenge: Huyu alipata kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali... huyu itakuwa amehusika sana na issues za IPTL enzi zake kwahiyo kilichopo sasa ni reward for job well done in those old days! Same applies to Daniel Yona na William Ngeleja ambao walipata kuwa mawaziri wa nishati hapo kabla!
4. Watu kama akina Tibaijuka inawezekana zilitoka in goodwill but 1.6 billion is a questionable amount... haiwezi kuachwa tu ipite hivi hivi kwa kisingizio kwamba imetolewa hadharani! Come on jMali, tell me something... hivi katika hali ya kawaida, leo hii braza Ruge aende kwa Tibaijuka kumtaka apewe upendeleo wa XYZ kwenye wizara ya Tibaijuka, hivi kweli Anna anaweza kuwa na ujasiri wa kukataa pamoja na miela yote ile aliyoichukua hata kama haikuingia kwenye a/c binafsi?

Wakati nipo benki kuna mteja mmoja alinipa elf 10 in goodwill! Alinikera sana lakini alinipa katika mazingira ambayo, kama ningeikataa, kuna watu wangeona nazuga naona aibu macho ya watu na wapo ambao wangeona ni embarrassment kwa mteja!Nikaipokea kwa shingo upande! You know what happened next? Several weeks later akaja yule mteja (nilikuwa nimemshasahau). Ndani kulikuwa na foleni ya kawaida sana lakini alichofanya ni kunipa kadi yake nikamchukulie hela kwenye akaunti yake! Nikamjibu mbona foleni sio kubwa...panga tu foleni! Unajuaje aliniulizaje? "Umenisahau?" Baada ya kuniuliza, nikamwangalia kwa makini, nikakumbuka kwamba ni yule mama ambae alinipa buku 10!!! Kwa shingo upande mzee, nishakula vya watu nitafanyaje... nikaenda kumchukulia hela but at the same time nika-deposit sh.10,000 kwenye kaunti yake nikampelekea na vocha... hadi natoka hakunifuata tena yule mama!! Kwahiyo hizi pesa zinazotolewa in "goodwill" baadae zina impact kubwa sana!!
 
Last edited by a moderator:
Asante sana kwa haka kaufafanuzi. Sasa kaakili kangu kanaanza kufunguka maana nami nilikuwa najiuliza hivi kosa la Ruge ni lipi? Mwisho nilijpa majibu kwamba hana kosa ndio maana bunge halihangaiki naye, bali linahangaika na hao waliopewa mgao. Lakini hapo hapo nikajiuliza kama Ruge hana kosa ni kwa nini agawe sehemu ya pesa zake kwa watu mbali mbali wakiwemo viongozi wa serikali? Wewe kama pesa ni zako kihalali na umezipata kiuhalali, kuna sababu gani ya kuwapa watu takrima? lakini kwa haka kahoja kako mkuu naanza kufunguka.
Wabunge hawawezi kuhangaika na Ruge... watakaohangaika na Ruge ni TAKUKURU na Mahakama!!
 
1. Not true, PAP wasingeweza kununua IPTL kutokana na kesi ya Rugemalira mahakamani. PAP walimlipa Rugemalira kwanza kabla ya escrow. Walianza kwanza na advance ya mil 7 USD, Rugemalira akaondoa kesi yake mahakamani halafu ndio wakamalizia zile zilizobaki.
2. kesi ya rugemalira dhidi ya IPTL ilikuwa ni kutaka IPTL ifilisiwe ili yeye apate thamani ya asilimia zake 30. Thamani ya hisa zake ilikuwa pale pale siku zote.
hizo dola 68m allilipwa lini?. si baada ya kutoa pesa BoT ambazo kwa madai yao zilikuwa zote za IPTL (PAP+VIP). inamaana ruge asingemaliziwa 68 zake bado angekuwa ni mmiliki wa IPTL. kwa hiyo mimi naona pesa ilitolewa ruge akiwa bado ni mmiliki wa IPTL. walitoa hela akamaliziwa 68 zake ndiyo ikawa byebye. utaniconvice sio mwizi iwapo alipewa 68 zake kabla pesa hazijatoka na tukijua hao PAP walionunua IPTL kwa Tsh 500m walikotoa USD68m za kumlipa.
 
Ebu tujuzeni, ni kwa mapana gani hela kwenye akaunti ya Escrow haikuwa mali ya IPTL.Na kama haikuwa ni nani kati ya serikali na STANDARD CHARTERED BANK atakuwa mmiliki halali?
zile pesa ni za tanesco na IPTL lakini iptl wamechukua wao zote.
 
jMali
With a light touch, your user name sounds like a blend of (J)ames Ruge(mali)ra...

Anyway, Nakubaliana na arguement zako, ni vigumu kuona kosa la JR kwenye huu usanii. Obviously he is very smart, tutaishia kumlaumu na kumchukia tu lakini si rahisi kumtia hatiani.

By the way watu wanabishana tu hapa, wengine hata hawajui maana ya Escrow account...
 
Last edited by a moderator:
Kosa la Rugemalila alijua kwamba PAP hakununua hisa za Mechar ya Malaysia kihalali bali kitapeli ndio maana hapo awali aliandika barua BoT kuzuia PAP isitoe hela za Escrow. Sheria zinazuia mnunuzi wa hisa kutumia pesa za kampuni aliyoinunua kulipia hisa zake na Rugemalila alilijua hilo. Yule Singasinga hakuwa na hela $75 milioni kumlipa Rugemalira.
 
on what basis would one take rugemalira to court? He owned 30% of IPTL legally, He sold them legally, He paid taxes! on what basis i ask you!

The only institution vested with powers to answer those questions is the Court of law. Simple as they seem to be, as you portray them, no one can give credible answers in a situation where the nation is in a state of confusion!
 
jMali
With a light touch, your user name sounds like a blend of (J)ames Ruge(mali)ra...

Anyway, Nakubaliana na arguement zako, ni vigumu kuona kosa la JR kwenye huu usanii. Obviously he is very smart, tutaishia kumlaumu na kumchukia tu lakini si rahisi kumtia hatiani.

By the way watu wanabishana tu hapa, wengine hata hawajui maana ya Escrow account...

dah umetisha, didn't see that name thing...anyway, you are very right . Many here don't even understand hii kitu imeendaje, badala yake tunaongea kiubishiubishi tu na bahati mbaya haitazuia chochote! Rugemalira ataendelea kudunda tu mitaani kama kawa.
 
The only institution vested with powers to answer those questions is the Court of law. Simple as they seem to be, as you portray them, no one can give credible answers in a situation where the nation is in a state of confusion!

yes but someone has to initiate the process by taking rugemalira to court....the question is, what would be the charges?
 
watanzania wengi ni wivu tu ila asilimia 95 wakipata nafasi ya kula wanakula. poor Tanzanians.
 
Kosa la Rugemalila alijua kwamba PAP hakununua hisa za Mechar ya Malaysia kihalali bali kitapeli ndio maana hapo awali aliandika barua BoT kuzuia PAP isitoe hela za Escrow. Sheria zinazuia mnunuzi wa hisa kutumia pesa za kampuni aliyoinunua kulipia hisa zake na Rugemalila alilijua hilo. Yule Singasinga hakuwa na hela $75 milioni kumlipa Rugemalira.

PAP isingeweza kununua hisa za IPTL kutokana na kesi ya Rugemalira dhidi ya IPTL. Na aliyezuia hilo ni MAHAKAMA. Kwa hiyo hata kama sing sethi angekuwa na hela kiasi gani ingebidi kwanza amalizane na rugemalira. Na ndicho kilichofanyika, rugemalira alilipwa ndio akaondoa kesi.
 
hizo dola 68m allilipwa lini?. si baada ya kutoa pesa BoT ambazo kwa madai yao zilikuwa zote za IPTL (PAP+VIP). inamaana ruge asingemaliziwa 68 zake bado angekuwa ni mmiliki wa IPTL. kwa hiyo mimi naona pesa ilitolewa ruge akiwa bado ni mmiliki wa IPTL. walitoa hela akamaliziwa 68 zake ndiyo ikawa byebye. utaniconvice sio mwizi iwapo alipewa 68 zake kabla pesa hazijatoka na tukijua hao PAP walionunua IPTL kwa Tsh 500m walikotoa USD68m za kumlipa.

kwa taarifa ni kuwa VIP ilimaliziwa fedha zake kabla ya fedha za escrow kutolewa. VIP ilifuta kesi September 5, mwaka 2013, wakati fedha za escrow zilipigwa december. Nisahihishe kama nimekosea. Hivyo fedha zilizonunua VIP SIO ZA ESCROW! Baada ya kesi ya VIP kuisha ndipo PAP ikapata uhalali wa kuchukua mali za IPTL including fedha za escrow.
 
spot on mkuu, unajua mpaka imebidi niangalie ulijiunga JF lini ndio nikaelewa. Siku hizi JF imebadilika sana watoto wamekuwa wengin kuliko watu wazima, hoja kama zako ni nadra sana kuziona JF nowadays.

Mimi inaniuma sana kuona effort inayotumika kumjadili Rugemalira na watu wanaodaiwa kupokea pesa na hasa kabla vyombo husika na bunge hawaweka hadharani reports zingetumika kufanya sensitization on whole human paradigm tungeweza kuleta influence kwa Watanzania. Sasa watu walipaswa wawe wanaifanyia analysis both critical and critique monetary transactions zetu. Na watu wangeangalia how local investors are protected by our laws. Wewe angalia time elapsed toka VIP waombe liquidation ya IPTL. How has the country helped them to get their rights? Tulipaswa tuangalie VIP as representative of local investors who fall out with unscrupulous foreign investors. Kuna watu naona wanajua kuandika and perhaps kufatilia mambo but on narrow, parochial, prejudiced and biased way. Watanisemehe katika hili maana badala ya kujikita kwenye issue wametumia muda mwingi kumuhukumu mtu and that cannot be the panacea for near and distant future. Thanks brother you are talking about issues and not judging someone through ones own weaknesses
 
Msiwa na hamaki isiyo na mashiko ndugu,hela za Escrow hakuzichukua
Ruge.Isitoshe hzo hela hazikuwa tayari mali ya TANESCO,mbona tu wazito wa kuelewa??Nitawaelewa kama hoja itakuwa ni ukwepaji kodi wakati wa mauziano ya hisa au kufufua hoja kwamba IPTL mkataba wake na TANESCO haukuwa fair.MAMBO YA ESCROW NI POLITICS TU,HAKUNA LA MAANA,HASA KUMHUSU RUGE.
mwenyewe unakubali mkataba initially haukua fair. basically escrow a/c ilifunguliwa kwa sababu ya tanesco kulalamika kuhusu overcharging sasa utanasemaje baada ya ruge na wenzake kufanya njama na kukwapua hela yote kwenye escrow ac. huo sio wizi?
 
Sio za serikali lakini usisahau kwamba serikali walikuwa na big interest kwa IPTL coz' tayari kulishakuwa na pesa za Escrow ambazo zilikuwa zinatoka TANESCO... hii issue ilikuwa not yet resolved hususani tukiangalia suala la capacity charge. Kwahiyo, ingawaje IPTL haikuwa na sio ya serikali lakini serikali ilikuwa na nafasi yake ndani ya IPTL. Sio hivyo, kama nilivyosema hapo awali, tayari IPTL iliwekwa chini ya Mufilisi... na mufilisi ni RITA ambae pia ni serikali... kwa mara nyingine, bado utaona ushawishi wa serikali kwa IPTL. Sasa basi, bado tunarudi kule kule...ndani ya Escrow account (resulted from IPTL Saga) kuna billions of Tanzanian shilings zinazotoka kwenye sekta ya nishati halafu tena tunaona Rugemalila analipa millions of Tanzanian Shillings kwa government officials ambao kwa kiasi kikubwa wanahusika na ama sekta ya nishati au mikataba ya serikali...NO, there must be something!! Come on man, we ain't talking of petty cash here but millions of Tanzanian shillings no one can offer it for free! I know you jMali... u're not this blind... user ID yangu inaweza kukuchanganya lakini kama unaweza kusoma between the lines, kwa makusudi kabisa wala sijabadilisha sauti yangu... ukiwa makini utajua unaongea na nani... you're not that blind tunapokutana kwenye mijadala ya Rwanda vs Tanzania!! Aidha, ni kweli kabisa kwamba Ruge haku-deal na serikali lakini kalipa millions of $ kwa government officials unless kama statement zinazotolewa hapa si za kweli... ana biashara gani nao hawa?

Sijakuelewa unaposema hata ukiangalia timeline, utagundua deal ya Ruge na Seith ilikuwa before Escrow? Before Escrow kivipi? I hope this's not your first time to know Escrow started to operate since 2006... but if you mean before Escrow Saga, then the answer is simple... Escrow Saga ilikuja baada ya mambo ya ajabu ajabu kufanyika... mosi, pale ilipogundulika IPTL ambayo ilikuwa chini ya mufilisi inapigwa bei, pili, Mechmar yenyewe walikuwa na kesi na creditor wao (Standard Chartered Bank Hong Kong) na hivyo hawakutakiwa kuuza IPTL... lakini baada ya kuzama zaidi, tukakuta wale wale waliopewa jukumu la IPTL ndio hao hao ndio waliopewa millions of money na Ruge... mbaya zaidi, wakati Ruge na 30% yake analipwa Millions of Dollar na PAP, IPTL inauza 70% yake kwa dola chini ya elfu nne... kisha tena unakuta Ruge yule yule kamlipa millions of shillings officer wa TRA ambae aliwajibika kujiridhisha na thamani rasmi ya hisa za IPTL ili tupate capital gain tax inayostahili!!! Nachelea kujaza kurasa ningefafanua intuition yangu kuhusu mchezo ambao ulichezwa na Seth kwa kushirikiana na Ruge! Kwa kifupi tu, kuna uwezekano mkubwa kwamba pesa ambayo ingetumika na seth kulipa Capital Gain ndiyo iliyotumika kumlipa Ruge na hili mchezo ufanyike, ndipo Ruge akaamua kumpa chake ofisa wa TRA.

Hapana... hatujalubaliana na hatuwezi kukubaliana! Nilichosema ni kwamba, ingawaje ni kweli Ruge pesa ni yake na ana haki ya kutumia anavyotaka yeye lakini tunapoona kawalipa maofisa wa serikali ambao kwa kiasi kikubwa wanahusika kwenye saga lililopo, NO... lazima tu-question hayo matumizi!
Hapa nakubaliana na wewe lakini as long as Escrow akaunti imekuwa emptied to IPTL shareholders with $ 0 to TANESCO bila kuambiwa mgogoro wa service charge umeishaje, hiyo ni sababu tosha kabisa kuonesha kwamba kuna tatizo, tena si dogo!!! Sasa inapotokea taarifa kwamba XYZ amelipwa na Ruge kwa biashara isiyofahamika, tena XYZ wenyewe ni wale wale ambao, ikiwa lengo ilikuwa ni kuchafua watu tu, basi wengine wala wasingeonekana. Mathalani, why should you include Paul Kimiti? Why should the bank statement show hadi watoto wa Ruge... nature ya majina inatufanya wengine tuamini kwamba the uploded bank statements might be legit.

Hawa ni miongoni mwa wale wanaoonekana kwenye uploaded bank statements:
1. Kuna watu wawili wa RITA... IPTL iliwekwa chini ya mufilisi (RITA) kwahiyo huwezi kuiuza IPTL bila kuihusisha RITA

2. Kuna watu wawili wa TRA... tunaambiwa kwamba PAP imemenua 70% ya hisa za IPTL kwa pesa isiyofika hata sh. milioni kumi! Hapa mtu anaweza kusema, ikiwa IPTL ni mali binafsi basi wana haki ya kuuza bei yoyote waitakayo... jibu HAPANA... hawawezi! Anyway, mali ni yao kwahiyo wanaweza kuuza hata kwa $ 100 lakini ikitokea hivyo, TRA watakachofanya ni ku-revalue mali iliyouzwa (for this context IPTL). Kama thamani say inakuwa $ 100 million , watakachofanya TRA ni kusema "we no problem na wewe ikiwa umeuza kampuni yako kwa dola 5000 lakini kodi yetu utalipa sawa na mali iliyouzwa $ 100 million!!!" Why? Kwa sababu isije mtu anasema amenunua kwa $ mia moja ili akwepe kulipa kodi stahiki! Hata watu wadogo kama sisi tukiangiza hata gari ya $ 10,000/- ukifika pale custom TRA watakuambia, NO... hii gari thamani yake ni $ 20,000 na utalipa kodi kama gari yenye thamani ya $ 20,000!!!

3. Chenge: Huyu alipata kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali... huyu itakuwa amehusika sana na issues za IPTL enzi zake kwahiyo kilichopo sasa ni reward for job well done in those old days! Same applies to Daniel Yona na William Ngeleja ambao walipata kuwa mawaziri wa nishati hapo kabla!
4. Watu kama akina Tibaijuka inawezekana zilitoka in goodwill but 1.6 billion is a questionable amount... haiwezi kuachwa tu ipite hivi hivi kwa kisingizio kwamba imetolewa hadharani! Come on jMali, tell me something... hivi katika hali ya kawaida, leo hii braza Ruge aende kwa Tibaijuka kumtaka apewe upendeleo wa XYZ kwenye wizara ya Tibaijuka, hivi kweli Anna anaweza kuwa na ujasiri wa kukataa pamoja na miela yote ile aliyoichukua hata kama haikuingia kwenye a/c binafsi?

Wakati nipo benki kuna mteja mmoja alinipa elf 10 in goodwill! Alinikera sana lakini alinipa katika mazingira ambayo, kama ningeikataa, kuna watu wangeona nazuga naona aibu macho ya watu na wapo ambao wangeona ni embarrassment kwa mteja!Nikaipokea kwa shingo upande! You know what happened next? Several weeks later akaja yule mteja (nilikuwa nimemshasahau). Ndani kulikuwa na foleni ya kawaida sana lakini alichofanya ni kunipa kadi yake nikamchukulie hela kwenye akaunti yake! Nikamjibu mbona foleni sio kubwa...panga tu foleni! Unajuaje aliniulizaje? "Umenisahau?" Baada ya kuniuliza, nikamwangalia kwa makini, nikakumbuka kwamba ni yule mama ambae alinipa buku 10!!! Kwa shingo upande mzee, nishakula vya watu nitafanyaje... nikaenda kumchukulia hela but at the same time nika-deposit sh.10,000 kwenye kaunti yake nikampelekea na vocha... hadi natoka hakunifuata tena yule mama!! Kwahiyo hizi pesa zinazotolewa in "goodwill" baadae zina impact kubwa sana!!

1.Ndugu, hiyo IPTL iliwekwa chini ya mufilisi kutokana na kesi ya RUGEMALIRA HUYU HUYU! Ruge alitaka IPTL ifilisiwe ili alipwe fedha zake 30% ya assets. Hivyo hata singasinga asingetokea, bado IPTL ingepigwa mnada Ruge angekula chake pale pale! Mitambo ya IPTL ubungo pale inakubalika kuwa na thamani around $250mil usd. so unaweza kuona bado angekula vijisenti vingi tu. Sasa hapo kuna rushwa gani mpaka eti ahonge watu wa serikali?

2. VIP iliuza hisa zake kwa PAP mwezi september, na deal nzima ilikuwa concluded then! Rugemalira alitoa press statement around August akielezea dili nzima ilivyokwenda. From then onwards, ndipo PAP ikapata uhalali wa kuingilia fedha za escrow. So you see by the time PAP inashughulika na escrow, James Rugemalira alikuwa hayupo!

3. kuhusu escrow account, hii dili ilikuwa kati ya PAP na Tanesco, wote wakakubaliana kuhamisha fedha kwenda PAP. Sasa hapo James rugemalira anahusika vipi tena? Kama kuna ubatili wowote wanatakiwa kufuatiliwa watu wa serikali na PAP sio JR! c'mon; tanesco kuna bodi nzima, wakurugenzi, mameneja, serikalini kuna waziri, naibu waziri, katibu, AG, BOT, Mbona wote hawa hawafuatiliwi anafuatiliwa mtu ambaye kosa lake ni kuuza mali yake kihalali?
Vile vile swali rahisi tu: fedha za escrow ni malipo ya umeme toka IPTL kwenda Tanesco, sasa leo watu wanapodai kuwa actually fedha zote ni za Tanesco na bado Tanesco inadai, maana yake ni nini? kuwa IPTL muda wote huo toka 2006 ilikuwa inazalisha umeme bure?

4. Kuhusu fedha kampa nani, rejea namba 2. Kuwa fedha zake ni halali na ana uwezo wa kumpa yoyote yule. Na zaidi ya hapo kuna USHAHIDI GANI KUWA hivi vielelezo vilivyosambaa humu JF ni vya kweli? Kilichopo ni karatasi reeefu lenye majina ya watu, aliyelitoa hajulikani! Lakini zaidi ya yote hata kama tukifanya wamepewa fedha na JR, je wanahusika vipi katika transaction ya VIP na PAP mwezi september? Kumbuka orodha ina majina kama ya askofu kilaini, watoto na mkwe wa rugemalira, etc, how on earth do these people fit in on all this?
 
Mimi inaniuma sana kuona effort inayotumika kumjadili Rugemalira na watu wanaodaiwa kupokea pesa na hasa kabla vyombo husika na bunge hawaweka hadharani reports zingetumika kufanya sensitization on whole human paradigm tungeweza kuleta influence kwa Watanzania. Sasa watu walipaswa wawe wanaifanyia analysis both critical and critique monetary transactions zetu. Na watu wangeangalia how local investors are protected by our laws. Wewe angalia time elapsed toka VIP waombe liquidation ya IPTL. How has the country helped them to get their rights? Tulipaswa tuangalie VIP as representative of local investors who fall out with unscrupulous foreign investors. Kuna watu naona wanajua kuandika and perhaps kufatilia mambo but on narrow, parochial, prejudiced and biased way. Watanisemehe katika hili maana badala ya kujikita kwenye issue wametumia muda mwingi kumuhukumu mtu and that cannot be the panacea for near and distant future. Thanks brother you are talking about issues and not judging someone through ones own weaknesses

pata "like" ya maneno naona button imeenda likizo.
 
FACTS:

1. James rugemalira alikuwa anamiliki 30% ya IPTL kupitia kampuni yake ya VIP. Asingeziuza hizo hisa, mpaka leo angekuwa bado anamiliki 30% ya IPTL KIHALALI kabisa, hivyo kuwa mbia mwenza wa PAP.
2. James rugemalira aliuza hizo share zake kwa kampuni ya PAP kwa dola milioni 75. Uuzaji wa hizi hisa ulifuata taratibu zote kisheria including ulipaji kodi.

MASWALI:
1. Huyu ndugu anaitwa mwizi kivipi? Amelipwa fedha kutokana na kuuza hisa, tatizo liko wapi hapo? Kisheria angeweza kumuuzia yoyote yule tofauti na PAP hizo hisa kama wangeafikiana bei! PAP wamefikia dau na yeye kawauzia, where is the problem hapo? IPTL sio kampuni ya umma, PAP sio kampuni ya umma, VIP sio kampuni ya umma. This is purely a private sector transaction. Mbona Rostam aliuza share zake vodacom kwa mabilioni tena kupitia nje ya nchi lakini hakuitwa mwizi (kwa kukwepa kodi among other things), badala yake akasherehekewa kwa front-page news? Naomba kufahamishwa kwa hoja tafadhali, uharamia wa James Rugemalira upo wapi.

Kosa na dhambi ya mauti ya Rugemalira ni Kula njama na kusaidia wizi wa mabilioni ya pesa za umma, and to add salt to injury; anazigawa kama njugu, bila uchungu na mamilioni ya watanzania maskini.
 
Asante sana kwa haka kaufafanuzi. Sasa kaakili kangu kanaanza kufunguka maana nami nilikuwa najiuliza hivi kosa la Ruge ni lipi? Mwisho nilijpa majibu kwamba hana kosa ndio maana bunge halihangaiki naye, bali linahangaika na hao waliopewa mgao. Lakini hapo hapo nikajiuliza kama Ruge hana kosa ni kwa nini agawe sehemu ya pesa zake kwa watu mbali mbali wakiwemo viongozi wa serikali? Wewe kama pesa ni zako kihalali na umezipata kiuhalali, kuna sababu gani ya kuwapa watu takrima? lakini kwa haka kahoja kako mkuu naanza kufunguka.

Maisha haya yana mipango mambo mengi.HUWEZI JUA WAKATI WANACHANGIA MTAJI WA IPTL HADI AKAPEWA HYO ASILMIA 30 KUNA NAMNA WALIVYOMSAIDIA.AU CHOCHOTE KIL.
 
Back
Top Bottom