Koromije crew: Everybody say yeeeeeah!!!!

Koromije crew: Everybody say yeeeeeah!!!!

Makonda
The King of Kolomije.
The time timing.
Viva Magufuli
 
Maisha si utajiri
Mkuu,wewe uliyepata dvs 1 za f4 & 6,GPA 5,Master,Phd na Uprofessa wako bado humfikii hata 1/3 bado unasaga gaga,pia ni kiongozi wako.

Hivyo maisha ni siri kwa yeyote anaweza kutoboa.

Elimu ya kiwango cha juu darasani ( formal education) sio kigezo cha kuwa tajiri au kiongozi mzuri(fanya utafiti wa vipanga na vilaza darasani utajiridhsha ninachosema).
 
Nipanic kivipi?ndio ukweli huo,au ulitaka nipambe kwa uongo?Hata wewe hapo kakupiga gepu kubwa sanaaaa la kimaisha,ila unajifariji tu kwa keyboards za fake ID.
Nani huyo aliyekudanganya kuwa tajiri ndiyo kuyapatia maisha???
 
[emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji122][emoji122][emoji106]
Aisee..tunamdisi tu ila anatupa funzo maisha ni kujaribu,hujui wapi utatokea
Kinachonikera anacheza rafu sana
 
Mkuu,wewe uliyepata dvs 1 za f4 & 6,GPA 5,Master,Phd na Uprofessa wako bado humfikii hata 1/3 bado unasaga gaga,pia ni kiongozi wako.

Hivyo maisha ni siri kwa yeyote anaweza kutoboa.

Elimu ya kiwango cha juu darasani ( formal education) sio kigezo cha kuwa tajiri au kiongozi mzuri(fanya utafiti wa vipanga na vilaza darasani utajiridhsha ninachosema).
Na watu wabovu kabisa kwenye uongozi mostly ni watu waliopata div one....ni watu wa kawaida Sana ktk maisha
 
Nipanic kivipi?ndio ukweli huo,au ulitaka nipambe kwa uongo?Hata wewe hapo kakupiga gepu kubwa sanaaaa la kimaisha,ila unajifariji tu kwa keyboards za fake ID.
gepu la nini??

kama gepu la tako ni kweli kanipiga gepu kubwa mno.

ila kuhusu maisha nakushauri tu utumie akili badala ya kutumia masaburi kwenye kutafsriri nini maana ya maisha.
 
mnyonge mnyongee.....huyuuu jamaa kapambanaa sana
 
Jamaa ni mpiganaji wa maisha kusema kweli [emoji109][emoji109][emoji109]
Jamaa anaishi maisha ya ndoto zetu money&power[emoji109][emoji109]
Hata Trump alikuwa na makampuni na pesa lakini alikosa kitu kimoja tu,nacho ni power,Sasa anacho!
Money,power&respect!
Saiv jamaa licha tu ya pesa akipita sehem anapigiwa salute [emoji61]
 
Unamawazo ya kijinga sana nje ya usisiem hana tonge, nafasi za upendeleo hata kama huna elimu ni sawa na mwanamke anayetegemea mume kimaisha, huyo ni mtumwa.
Mwenye elimu ana uhuru wa maamuzi
 
Mkuu,wewe uliyepata dvs 1 za f4 & 6,GPA 5,Master,Phd na Uprofessa wako bado humfikii hata 1/3 bado unasaga gaga,pia ni kiongozi wako.

Hivyo maisha ni siri kwa yeyote anaweza kutoboa.

Elimu ya kiwango cha juu darasani ( formal education) sio kigezo cha kuwa tajiri au kiongozi mzuri(fanya utafiti wa vipanga na vilaza darasani utajiridhsha ninachosema).
Wajinga pekèe ndio hufikiria mali ni hekima.
Hata vitabu vya dini vinawahimiza muitafute elimu.

Heri kijana mwenye elimu kuliko mzee mjinga mwenye mali
 
Ni hatari sana kijana kujifunza namna ya kufanikiwa kupitia maisha ya Bashite. It is a path to death.

Njia ya mafanikio ya Bashite inadaiwa kuwa imejaa hila, uongo, kudhulumu, kupendelewa, kuangamiza, kutapeli, ngono, ndumba nk. Ni njia ya giza mnoo.

Kama njia ya mtu kufanikiwa iko namna hiyo ya Bashite, au maisha ya sasa ya Bashite ndio mfano wa maisha ya kijana aliyefanikiwa, basi ni bora nisifanikiwe kabisa kimaisha. Haipendezi, haivutii na haina raha.
 
Sawa unayoyasema.Mimi sina Mali wala Elimu ( yangu f4 tu).Ila katupiga gap,tukubali tukatae,tubinuke,tuiname,tucheke,tulie,tulale,tusimame nk.Ujanja kupata,mengine makelele kama makelele ya baa tu.ILA KUMBUKA KILA KITU TUNACHOKITAFUTA HAPA DUNIANI TUTAVIACHA.
Wajinga pekèe ndio hufikiria mali ni hekima.
Hata vitabu vya dini vinawahimiza muitafute elimu.

Heri kijana mwenye elimu kuliko mzee mjinga mwenye mali
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom