Koromije crew: Everybody say yeeeeeah!!!!

Koromije crew: Everybody say yeeeeeah!!!!

Mpeni heshima yake basi, ata kama anakuuzi haina maana umuelezee kwa kumdhalilisha, kumbuka huyu ni Mwanaume kama sisi, ukimdhalilisha maana yake tunajidhalilisha na sisi watoto wa kiume. Mkosoe kwa uongozi wake Si maumbile yake. Mpende adui yako.
Hakuna heshima hapa ..
Labda umpe wewe...
Mkolomije ni mkolomije tu!!
Hadi Kiama.
 
Hakuna heshima hapa ..
Labda umpe wewe...
Mkolomije ni mkolomije tu!!
Hadi Kiama.
Upumbavu huo wewe, so is that to say wanaoishi, walozaliwa na wenye chimbuko la Kolomije sio binadamu? hivi Moderator kwa nini kwa issues kama hizi mnakuwa na double standards? kweli hamuoni huyu akidhalilisha utu wa watu?!!!!
 
Miaka ya nyuma,
Kabla sijatoka sijavuma, nakaza kila mishe mambo yasiweze buma
Home njaa kali na bimkubwa mambo si shwari, daily nasaka bread nipambane na hii hali

Mambo mengi, street kibao tena ya kishenzi
Ndoto zikanijia mwana nivamie Zenji
Zunga la unga, bashite mwana wala sikuvunga, benchi la ufundi Messi kocha niite mimi Dunga
Kama zali
Lile la Professor Jay, nikapenya ndani ya siasa yani bila ya ku' delay
Busu sana miguu
Ya watu wakubwa, kujifanya sina makuu ili niweze kuwavuruga

Homa ya jiji nimekua nikutua nashtua
Niko real nipo pure natusua nipo sure
Nimelikamatia jiji nimeliweka lote mfukoni
Na kwa mzee Dingi mi ndo wake kama vile mboni
Ooh my God! Nipo Ikulu ya Dar na kesho Bata mamtoni
 
Kumbe alikua msanii[emoji849]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom