Sisi ambao tulibukua na kusimamisha mianzi na vijiti tumemzidi nini sasa huyu😂😂😂😂😂😂😂Daaadekiii!Ndivyo vilimfanya asahau "kubukua" akazunguka "kiplefti" ?FFF....Faaa...Faaaa mwili mzima!
Hilo lilikuzwa akiishi nyumbani kwa SittaHapo mbona hana haga(msabwanda),au ningoje ageuke?
Walikuwa wanamwagilia etiHilo lilikuzwa akiishi nyumbani kwa Sitta
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Daaadekiii!Ndivyo vilimfanya asahau "kubukua" akazunguka "kiplefti" ?FFF....Faaa...Faaaa mwili mzima!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jamaa anakula maisha,anaishi maisha ya ndoto ya wanaume wengi(money&power),hata upepo ukibadirika hatuta kuwa sawa maana atakuwa ameshakula maisha hata wengine tuishi miaka 100 tutaendelea kuyaota tu.Aisee..tunamdisi tu ila anatupa funzo maisha ni kujaribu,hujui wapi utatokea
Kinachonikera anacheza rafu sana
Mzee baba huo wote ni wivu tu..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Daaadekiii!Ndivyo vilimfanya asahau "kubukua" akazunguka "kiplefti" ?FFF....Faaa...Faaaa mwili mzima!
Hii ni kiboko yao. Kumbe na bongo flavor aliimba? Ila hii step hajawahi isema.
Mbona umepanic??Mkuu,wewe uliyepata dvs 1 za f4 & 6,GPA 5,Master,Phd na Uprofessa wako bado humfikii hata 1/3 bado unasaga gaga,pia ni kiongozi wako.
Hivyo maisha ni siri kwa yeyote anaweza kutoboa.
Elimu ya kiwango cha juu darasani ( formal education) sio kigezo cha kuwa tajiri au kiongozi mzuri(fanya utafiti wa vipanga na vilaza darasani utajiridhsha ninachosema).
Nipanic kivipi?ndio ukweli huo,au ulitaka nipambe kwa uongo?Hata wewe hapo kakupiga gepu kubwa sanaaaa la kimaisha,ila unajifariji tu kwa keyboards za fake ID.Mbona umepanic??