Korea ya kaskazini yafanya majaribio mapya ya Silaha

Hakuna kitu kibaya kama umasikini, umasikini huleta chuki, umasikini huleta uasi na umasikini huleta vifo.
.
North Korea wana-experience maisha magumu sana kuliko ya mwananchi wa tandahimba.
.
Wanaimarisha jeshi wakati uchumi ni mdogo What if mataifa yote yakaacha kuwapelekea bidhaa muhimu kama mafuta n.k kwa sanctions za US, China wanawavumilia lakini ipo siku watachoka.
Maskini ni sisi mkuu na sio korea, acheni propaganda
 
N.korea ni masikini vibaya mno kaka amini usiamini wameendelea Pyongyang tu wanakila kitu treni za umeme, mabasi ya umeme n.k lakini wakazi wa Pyongyang ni watu wasio na furaha ila wanalazimishwa wawe nayo.
.
Mwananchi anaezungumza na foreign media anakamatwa akigundulika, bei ya basic needs ni ghali mno wanatamani leo kesho S.KOREA iwe yao.
 
Kwani unaishi sehemu gani kwa hapo NK!?
 
N.korea ni masikini vibaya mno kaka amini usiamini wameendelea Pyongyang tu wanakila kitu treni za umeme, mabasi ya umeme n.k lakini wakazi wa Pyongyang ni watu wasio na furaha ila wanalazimishwa wawe nayo.
.
Mwananchi anaezungumza na foreign media anakamatwa akigundulika, bei ya basic needs ni ghali mno wanatamani leo kesho S.KOREA iwe yao.
We unaishi tandika mikoroshini hizi taarifa umezitoa wapi
 
Waimarishe uchumi wao kwanza ndipo waanze kufanya uwekezaji mkubwa wa billions of money kwenye jeshi lao.
.
Mfano mzuri ni Tanzania tuanze kutumia uranium zile tutengeneze chemical weapons tuwekeze mabilion kwenye vifaa na silaha za kijeshi wakati ni taifa masikini sanaaa.
Umewahi fika North Korea ukaona wanashida kama za Tandahimba ama unatumia zile picha za CNN,Fox & co...kufikia hitimisho la shida za Korea
 
Mkuu hata sasa wanaweza kuvamiwa na kupigwa vibaya mno na muamerica lakini kuna athari itajitokeza hakutakuwa na "Cold war" tena bali vita halisi yaani WW3.
.
Russia ataingia, China ataingia na wengineo ambao wananafkiana na marekani (Nchi za kiislam). NB: si zote

Wakiingia hao Ukraine ataingia na Soviet country zote zitaingia japan, s.Korea, Canada, Germany, Israel, France, UK, Brazil n.k.
.
Itakuwa ni hatari ndio maana inatumika njia ya mazungumzo, mitambo yao ni hatari hata kwako muafrica likipigwa bomu la nuclear hatubaki kaka atabaki mende tu
Nchi maskini kama Tandahimba inaweza kuwa na technology ya kutengeneza nuclear kweli..?!!
..au ndio propaganda za mabepari
 
Waimarishe uchumi wao kwanza ndipo waanze kufanya uwekezaji mkubwa wa billions of money kwenye jeshi lao.
.
Mfano mzuri ni Tanzania tuanze kutumia uranium zile tutengeneze chemical weapons tuwekeze mabilion kwenye vifaa na silaha za kijeshi wakati ni taifa masikini sanaaa.
Unaposema uchumi wao Mbovu unalinganisha na nchi ipi? Maelezo yako mengi Sana as if wew ni mkazi wa North korea, Hivi upo Jimbo gani huko?
Acha kukariri propaganda za CNN au BBC.
North Korea wana OS ya kwao, makombora and other military hardware ni tech yao halafu wewe unaleta maneno mbofu mbofu
 
Si propanganda za CNN wala BBC nimefanya na naendelea kufanya kazi na hackers wa kijerumani tunayajua haya.
.
Na kwa kukupa intro ya anachofanyiwa N.korea kuna track system za kimarekani zipo kwao kila kinachoendelea kule kinafahamika ukiondoa msaada wa NASA
 
Back
Top Bottom