FRANC THE GREAT
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 5,500
- 8,067
Life Expectancy Ni Kigezo Mojawapo Cha Kuonesha Kwamba Nchi Imeendelea!Kwahiyo ulitaka waishi mpaka watembelee wheelchair? 69 inatosha kabisa kutengeneza nukes na kuacha historia.
Life Expectancy Ni Kigezo Mojawapo Cha Kuonesha Kwamba Nchi Imeendelea!Kwahiyo ulitaka waishi mpaka watembelee wheelchair? 69 inatosha kabisa kutengeneza nukes na kuacha historia.
World Bank Na North Korea Wenyewe.Chanzo Cha takwimu zako
huwez kuwa na nuclear kama unauchumi wa hovyo pia nuke ni ishara ya maendeleo ya teknolojiaNuclear Sio Uchumi!
Sasa mkuu hao world bank si ndio hao hao maadui wake north korea ? Ulitegemea watoe taarifa nzuri tofauti na hizo propaganda zaoWorld Bank Na North Korea Wenyewe.
Uchumi Una Data Zake Ndugu, Sio Nuclear! Kutokuwa Na Nuclear Weapons Hakumaanishi Wewe Ni Masikini Na Pia Kuwa Nazo Hakumaanishi Wewe Ni Nchi Tajiri.huwez kuwa na nuclear kama unauchumi wa hovyo pia nuke ni ishara ya maendeleo ya teknolojia
Maadui Zake Kivipi. Hizo Taarifa Hazina Propaganda. Hata North Korea Wametoa Nao Data Zao Mwaka Jana, Hazipishani Na Hizo!Sasa mkuu hao world bank si ndio hao hao maadui wake north korea ? Ulitegemea watoe taarifa nzuri tofauti na hizo propaganda zao
fact nuke nyerere si alikuwa na ndoto hyo lkn mbona ilifeliUchumi Una Data Zake Ndugu, Sio Nuclear! Kutokuwa Na Nuclear Weapons Hakumaanishi Wewe Ni Masikini Na Pia Kuwa Nazo Hakumaanishi Wewe Ni Nchi Tajiri.
Rudi Kwenye Historia, Hizi Technolojia Za Nuclear Zipo Muda Mrefu Tu Na Nchi Mbalimbali Hasa Asia Zimekuwa Zikiuziana Hii Technolojia, Kuanzia Iran, China, India, Pakistan, Na N. Korea Yenyewe. Soma Historia Ya Huyu Mtu Abdul Qadeer Khan.
Huyo Ni Mwanafizikia Wa Pakistan. Huyo Ni Kiini Kikubwa Cha Elimu Hiyo Ya Nyuklia Kusambaa Asia. Yeye Alitoka Nayo Europe (Inasemekana Kuwa Aliiba) Na Kuipeleka Nchini Kwake Pakistan Na Ndiye Aliyeziuzia Libya, Iran Na North Korea Teknolojia Hiyo. Na Ndio Aliyesimamia Miradi Ya Nuclear Ya Pakistan. Soma Kuhusu A Q Khan Network.
Hata Sisi Tanzania Tungekuwa Tunapakana Na Hizi Nchi Ni Kwa Asilimia Kubwa Sana Tungekuwa Na Nyuklia Licha Ya Uchumi Wetu Kuwa Mbaya.
Hiyo Ndoto Aliifanyia Kazi?fact nuke nyerere si alikuwa na ndoto hyo lkn mbona ilifeli
alijaribu akaona watz wangekula nyasiIyo Ndoto Aliifanyia Kazi?
Kwahiyo ulitaka waishi mpaka watembelee wheelchair? 69 inatosha kabisa kutengeneza nukes na kuacha historia.
Sasa mkuu hao world bank si ndio hao hao maadui wake north korea ? Ulitegemea watoe taarifa nzuri tofauti na hizo propaganda zao
alijaribu akaona watz wangekula nyasi
North korea kila kitu wanachofanya huwa wanajadiliana kwa mapana na marefu. Mimi nilijua tu trump anajisumbua. Mwisho wa siku watavamia south korea. Maana maspy wa nort korea sasa hivi wanaingia sana south.Korea Kaskazini yafanyia majaribio silaha mpya na ya kisasa chini ya usimamizi wa Kim Jong-un
Serikali ya Korea Kaskazini imefanyia majaribio kwa mafanikio, ya silaha ya 'kistratijia, mpya na ya kisasa' chini ya usimamizi wa kiongozi wa nchi hiyo, Kim Jong-un.
Shirika la Habari la Korea Kaskazini imetangaza kwamba, majaribio hayo yaliyofanyika asubuhi ya leo, yanaifanya silaha hiyo mpya iiongezee uwezo mkubwa wa kijeshi nchi hiyo. Hata hivyo taarifa hiyo hakusema muda wala aina ya silaha iliyofanyiwa majaribio hayo. Hii ni katika hali ambayo Shirika la Habari la Korea Kusini Yonhap limetangaza kwamba hadi sasa halijapata dondoo zozote kuhusiana na majaribio hayo. Majaribio hayo yamefanyika katika hali ambayo tarehe 12 Juni mwaka huu, rais wa Marekani, Donald Trump na Kim Jong-un, Kiongozi wa Korea Kaskazini walikutana nchini Singapore na kutiliana saini makubaliano kadhaa ambapo kwa mujibu wake, Pyongyang ilikubali kuangamiza kikamilifu silaha zake za nyuklia.
Hata hivyo serikali ya Korea Kaskazini imekuwa ikiilalamikia Marekani kwa kukiuka makubaliano hayo, sambamba na Washington kuendelea kufanya maneva mbalimbali ya kijeshi katika eneo, suala ambalo limekuwa likipingwa vikali na Pyongyang. Kabla ya hapo vyombo vya habari nchini Marekani viliripoti kwamba sambamba na kufanyika mazungumzo kati ya viongozi wa Marekani na Korea Kaskazini katika miezi iliyopita, serikali ya Pyongyang imekuwa ikiendelea kuunda makombora ya mabara kwa kutumia fueli mpya ya majimaji katika viunga vya mji mkuu wa nchi hiyo.
ahahahhaa ndoto za alinacha. Ulishasikia north korea kuna tatizo la ajira au njaa? hizo ni propaganda za USA mkuuHakuna kitu kibaya kama umasikini, umasikini huleta chuki, umasikini huleta uasi na umasikini huleta vifo.
.
North Korea wana-experience maisha magumu sana kuliko ya mwananchi wa tandahimba.
.
Wanaimarisha jeshi wakati uchumi ni mdogo What if mataifa yote yakaacha kuwapelekea bidhaa muhimu kama mafuta n.k kwa sanctions za US, China wanawavumilia lakini ipo siku watachoka.
kwann waivamie south wanataka nnNorth korea kila kitu wanachofanya huwa wanajadiliana kwa mapana na marefu. Mimi nilijua tu trump anajisumbua. Mwisho wa siku watavamia south korea. Maana maspy wa nort korea sasa hivi wanaingia sana south.
huyu mzee yeye na ujamaa ulikuwa unampelekesha puta[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] MKUU UMEWAZA NN
Huwezi ukawa na high technology ikiwa unamapungufu ya lishe. Sio kama sisi wabongo, halafu unasema umekula.Hao North Korea Wana Utajiri Gani Kushinda Jirani Zake! Wao Si Ndio Maskini Zaidi Ukanda Ule Wa East Asia.
Mortality Rate Yao Ipo Juu, Uhaba Wa Chakula, Umasikini Upo Juu, Uzalishaji Mdogo, Huduma Za Afya Hafifu, Jirani Zao South Wana Life Expectancy Miaka 79, Wao North Wana 69.
sasa hapa kwetu Tanzania kuna vyuo vya technolojia mbali mbali kama DIT, NIT, MIT na vyuo hivi vina miongo kadhaa sasa, lakin hatuna chochote tunachokifanya, kwanini hujiulizi kwanini?Uchumi Una Data Zake Ndugu, Sio Nuclear! Kutokuwa Na Nuclear Weapons Hakumaanishi Wewe Ni Masikini Na Pia Kuwa Nazo Hakumaanishi Wewe Ni Nchi Tajiri.
Rudi Kwenye Historia, Hizi Technolojia Za Nuclear Zipo Muda Mrefu Tu Na Nchi Mbalimbali Hasa Asia Zimekuwa Zikiuziana Hii Technolojia, Kuanzia Iran, China, India, Pakistan, Na N. Korea Yenyewe. Soma Historia Ya Huyu Mtu Abdul Qadeer Khan.
Huyo Ni Mwanafizikia Wa Pakistan. Huyo Ni Kiini Kikubwa Cha Elimu Hiyo Ya Nyuklia Kusambaa Asia. Yeye Alitoka Nayo Europe (Inasemekana Kuwa Aliiba) Na Kuipeleka Nchini Kwake Pakistan Na Ndiye Aliyeziuzia Libya, Iran Na North Korea Teknolojia Hiyo. Na Ndio Aliyesimamia Miradi Ya Nuclear Ya Pakistan. Soma Kuhusu A Q Khan Network.
Hata Sisi Tanzania Tungekuwa Tunapakana Na Hizi Nchi Ni Kwa Asilimia Kubwa Sana Tungekuwa Na Nyuklia Licha Ya Uchumi Wetu Kuwa Mbaya.
ukumbuke tz hakuna bajeti ya tafiti za kisayansiHapa Tan
sasa hapa kwetu Tanzania kuna vyuo vya technolojia mbali mbali kama DIT, NIT, MIT na vyuo hivi vina miongo kadhaa sasa, lakin hatuna chochote tunachokifanya, kwanini hujiulizi kwanini?