Korea ya kaskazini yafanya majaribio mapya ya Silaha

Korea ya kaskazini yafanya majaribio mapya ya Silaha

Si propanganda za CNN wala BBC nimefanya na naendelea kufanya kazi na hackers wa kijerumani tunayajua haya.
.
Na kwa kukupa intro ya anachofanyiwa N.korea kuna track system za kimarekani zipo kwao kila kinachoendelea kule kinafahamika ukiondoa msaada wa NASA
Acha kutufanya watoto wadogo humu, kakusanye wale wadogo zako na ukoo wako kule kijijini kwenu uwadanganye
 
Anataka watu wote duniani waishi kama US, amesahau kuwa ata huko US wako maskini na pia no homeless.
Unaposema uchumi wao Mbovu unalinganisha na nchi ipi? Maelezo yako mengi Sana as if wew ni mkazi wa North korea, Hivi upo Jimbo gani huko?
Acha kukariri propaganda za CNN au BBC.
North Korea wana OS ya kwao, makombora and other military hardware ni tech yao halafu wewe unaleta maneno mbofu mbofu
 
Acha kutufanya watoto wadogo humu, kakusanye wale wadogo zako na ukoo wako kule kijijini kwenu uwadanganye
Sawa wewe mkubwa, kakusanye wakubwa wenzio kule mbwinde kwa bibi yako uwaeleze ukweli.
 
Si propanganda za CNN wala BBC nimefanya na naendelea kufanya kazi na hackers wa kijerumani tunayajua haya.
.
Na kwa kukupa intro ya anachofanyiwa N.korea kuna track system za kimarekani zipo kwao kila kinachoendelea kule kinafahamika ukiondoa msaada wa NASA
Huna uwezo huo
 
Huna uwezo huo
Hujasoma vizuri ila umekurupuka, nafanya kazi na hackers wa Germany ambao wanafanya kazi zao legally.
.
Mimi sihack chochote cha N.korea ila taarifa ya anachofanyiwa nazipata kwa forum.
 
Ulimwengu wa sasa ni teknolojia;waendelee tu kutengeneza wapo watakaonufaika na hizo silaa
 
Back
Top Bottom