gwijimimi
JF-Expert Member
- Sep 24, 2011
- 7,344
- 3,623
Hehehehe kupata vichekesho vingine kama hv unatuma kwenda namba gani
Si propanganda za CNN wala BBC nimefanya na naendelea kufanya kazi na hackers wa kijerumani tunayajua haya.
.
Na kwa kukupa intro ya anachofanyiwa N.korea kuna track system za kimarekani zipo kwao kila kinachoendelea kule kinafahamika ukiondoa msaada wa NASA