Korea ya kaskazini yafanya majaribio mapya ya Silaha

Korea ya kaskazini yafanya majaribio mapya ya Silaha

Huwezi ukawa na high technology ikiwa unamapungufu ya lishe. Sio kama sisi wabongo, halafu unasema umekula.
Kiufupi umaskini unapimwa kwa vitu vingi sana. Lakin kwa NK sio maskini, wameprove kwa njia nyingi sana
1. Imedumu kwenye vikwazo kwa miongo kadhaa lakini viwanda vyao havijafa. Tanzania sisi hakuna janga la maana lililowahi kutupata zaidi ya vita vya kagera, viwanda karibu vyote vilikufa/vimekufa.
2. Wamemeintein status yao ya yakutoyumbishwa na mataifa ya magharibi. Sisi leo hii makonda anapambana na ushoga, wizara inasema suala la makonda ni mawazo yake sio tamko la serikali. Nikiwa na maana hawategemei misaada haramu.
3.Resources walizo nazo ni chache ukiilinganisha na Tanzania, lakini wamekua nuclear power.

Unawezaje kuilinganisha na Tandahimba? Hii dharau kubwa sana.
Hizo Sababu Ulizotaja Sio Vigezo Vya Kuwa Na Uchumi Mkubwa. Nuclear Power Has Nothing To Do With Economy!
 
ahahahhaa ndoto za alinacha. Ulishasikia north korea kuna tatizo la ajira au njaa? hizo ni propaganda za USA mkuu
Kila Habari Kuhusu NK Wewe Unaona Ni Propaganda Za US. Vp Kuhusu Hao N. Korea, Kwani Nao Hawana Propaganda Za Kusema Uchumi Wao Ni Bora Huku Hali Halisi Wananchi Wanashinda Njaa.
 
North korea kila kitu wanachofanya huwa wanajadiliana kwa mapana na marefu. Mimi nilijua tu trump anajisumbua. Mwisho wa siku watavamia south korea. Maana maspy wa nort korea sasa hivi wanaingia sana south.
Wavamie South Korea Kivipi?
 
Hapa Tan

sasa hapa kwetu Tanzania kuna vyuo vya technolojia mbali mbali kama DIT, NIT, MIT na vyuo hivi vina miongo kadhaa sasa, lakin hatuna chochote tunachokifanya, kwanini hujiulizi kwanini?
Pengine Hayo Ni Matatizo Katika Mifumo Yetu Ya Elimu Hasa Katika Utafiti Wa Kisayansi Yakiwemo Kutovipa Kipaumbele Na Kutotenga Fedha Za Kutosha Kwa Ajili Ya Tafiti Mbalimbali Za Kisayansi, Pia Upungufu Wa Wataalam Wakutosha. Je Ni Wataalam Wangapi Tunawapeleka Wakapate Ujuzi Wa Maswala Mbalimbali Ya Kisayansi Nchi Za Nje Ili Waje Tuwatumie Hapa Kwetu?

Na Pia Ni Swala La Kimaamuzi, Fedha Zipo Ila Hatujaamua Kuwekeza Huko, Fedha Zimepelekwa Kwenye Mambo Mengine Ikiwemo Ufisadi.
 
Shida kubwa ni umaskini ndugu. Umaskini unapelekea hata IQ kuwa chini ya viwango.
 
Back
Top Bottom