Korea Kaskazini: Tutazamisha meli ya Marekani

Ujue mtoto akiwa na ndevu nae anajiona anaweza akafanya kitu chochote.
Kama Jimbo la California pekee yake lipo juu kiuchumi na kiteknolojia na katika silaha kuizidi Russia. Tutegeemee kusambaratika kwa Korea yote, maana kitu watakachofanya kuwagonga na nyuklia na kupoteza kizazi chote cha North Korea
0a246b1592a7c64c7ad81ab675899b6c.jpg
 
Katika nchi isiyokuwa na ujanja wa vita ni China ajawai kuingia katika vita. Na asilimia 85% ya vitu vya China ni copying and paste, ndio maana anaofia vita ikitokea pale Pennsula ataasirika kwa sababu America Watawekwa mashine za spying katika Pensula yote. Na ndio maana Russia alipiga kerere kuhusu satellite [emoji341] ya USA inachunguza kila kitu kuhusu Russia.
 
Mchina juzi kaogopa baada ya USA, katengeneza ndege mpya. Toleo jipya March 2017. Sasa apo mchina inabidi arudi Laboratory [emoji436] kujaribu kukopi. Dunia inakua kila 24 Hrs.
Silaha anazolinga nazo Korea ya kaskazini zilitumika 1945
 
Katika nchi isiyokuwa na ujanja wa vita ni China ajawai kuingia katika vita. Na asilimia 85% ya vitu vya China ni copying and paste, ndio maana anaofia vita ikitokea pale Pennsula ataasirika kwa sababu America Watawekwa mashine za spying katika Pensula yote. Na ndio maana Russia alipiga kerere kuhusu satellite [emoji341] ya USA inachunguza kila kitu kuhusu Russia.

Teh!, atapigana kufa na kupona hii vita isitokee, sio tayari ameshaanza kulalamikia deployment ya THAAD South Korea.
 
DPRK imewekeza uchumi wake kwenye zana za kivita kitambo kwahiyo usishangae kusikia kuna njaa nchini mwao lakini kwenye masuala ya zana za kivita mtasubiri sana.
Mkuu hii avatar ina hati miliki, pia umenisababishia usumbufu kwani nilishangaa kuona post sio yangu lkn avatar ni yangu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
DPRK imewekeza uchumi wake kwenye zana za kivita kitambo kwahiyo usishangae kusikia kuna njaa nchini mwao lakini kwenye masuala ya zana za kivita mtasubiri sana.
Ni kweli watu wao wanakufa njaa kwa sababu uongozi unaweka pesa nyingi kwenye jeshi. Lakini uchumi wote umeanguka. Soma hapa Korea Kaskazini - Wikipedia, kamusi elezo huru. Je nchi isiyoweza kukarabati trekta zake itaundaje mitambo ya kijeshi? Au kutengeneza ramia kwa mizinga zitakazolipuka wakati inayotakiwa? Basi soma hii
"Jeshi huwa na idadi kubwa ya vifaa lakini kuna tatizo kubwa ya kwamba vifaru, ndege za kijeshi na manowari ni za kale sana na teknolojia ni ya miaka ya 1950-1970. Hakuna uhakika kiasi gani zinafanya kazi kutokana na hali bovu ya tasnia na uhaba wa vipuli. Korea Kaskazini ilijitahidi kutengeneza makombora na vifaa vingine kwa kunakili sampuli kutoka Urusi na China lakini inaonekana idadi iliyoweza kutengenzwa ni ndogo. Imekadiriwa na watazamaji kuwa wanaanga wanakosa mafuta ya kufanya mazoezi ya kutosha." Korea Kaskazini - Wikipedia, kamusi elezo huru
Mapigano michache walipoingia dhidi ya Korea Kusini katika miaka 20 iliyopita walishindwa hadi sasa. Wanajeshi wa mpakani wanakimbia China kuomba au kuiba chakula ingawa wanaweza kuadhibiwa mno.
 
Hizo meli za marekani haziwezi kufika rasi ya Korea! Anazuga tu kuepusha aibu! Ameona aibu sana meli zake ziliposepa! Watu wakaanza kudhihaki hivyo akaziagiza meli zake zianze kuzuga eti zinaelekea Korea!
 
Ni kweli watu wao wanakufa njaa kwa sababu uongozi unaweka pesa nyingi kwenye jeshi. Lakini uchumi wote umeanguka. Soma hapa Korea Kaskazini - Wikipedia, kamusi elezo huru. Je nchi isiyoweza kukarabati trekta zake itaundaje mitambo ya kijeshi? Au kutengeneza ramia kwa mizinga zitakazolipuka wakati inayotakiwa? Basi soma hii
"Jeshi huwa na idadi kubwa ya vifaa lakini kuna tatizo kubwa ya kwamba vifaru, ndege za kijeshi na manowari ni za kale sana na teknolojia ni ya miaka ya 1950-1970. Hakuna uhakika kiasi gani zinafanya kazi kutokana na hali bovu ya tasnia na uhaba wa vipuli. Korea Kaskazini ilijitahidi kutengeneza makombora na vifaa vingine kwa kunakili sampuli kutoka Urusi na China lakini inaonekana idadi iliyoweza kutengenzwa ni ndogo. Imekadiriwa na watazamaji kuwa wanaanga wanakosa mafuta ya kufanya mazoezi ya kutosha." Korea Kaskazini - Wikipedia, kamusi elezo huru
Mapigano michache walipoingia dhidi ya Korea Kusini katika miaka 20 iliyopita walishindwa hadi sasa. Wanajeshi wa mpakani wanakimbia China kuomba au kuiba chakula ingawa wanaweza kuadhibiwa mno.
Wikipedia wametoa wapi taarifa za DPRK mkuu wakati hata Marekani hawajui chochote kuhusu DPRK? Watu wamepeleka satellite juu wewe unauliza habari za kukarabati trekta!
 
Af sijui watu mnaichukuliaje US,,,Kwa kifupi sidhan kma ipo nchi inayoweza kumpiga marekani,,,labda kwa muunganiko wa nchi nyingi
Kweli kabisa kiongozi watu wanawachukulia Us poa, jamaa wapo vizuri sana Us wakikinukisha hapa tutakiambana tuache ushabiki wa simba na yanga.
 
Back
Top Bottom