Umenichekesha sana[emoji23] [emoji23]Hakuna kombora la kisasa kama njaa
Rafiki wikipedia haifanyi kazi nyingine ila kukusanya vyanzo vya habari vinavyopatikana kote. Hata kwako ukitaka kugundua hali halisi! Pia wanaonyesha vyanzo vyao. Wapi vyanzo vya hekima yako? Kupeleka satelaiti angani si kazi kubwa mno, misingi inajulikana tangu miaka ya 1950s. Ila tu Korea Kaskazini hawakufaulu kweli, walidai mara kadhaa vyombo vyao vinavyoitwa Kwangmyŏngsŏng vilifika juu lakini hakuna mtu aliyeweza kuona satelaiti zao hadi Kwangmyŏngsŏng 3 na 4, za kabla zilianguka tu au kupasuka. Kwa kweli ni mafanikio ila tu unaweza kujiuliza nchi ambayo haina chakula kwa wananchi wake inatumia uwezo wake mdogo namna gani? Yaani hali ya chakula cha Watanzania ni afadhali kuliko Korea Kaskazini. Kwa nini Magufuli asiuze mchele nje (watu wale ardhi) na kurusha makombora? Je utapenda kulala njaa na kukonda kama Mkorea wa Kaskazini kwa heshima hii?????Hizo Wikipedia zenu hizo zinawadanganya Sana. N.Korea wamepeleka satellite juu ww unaongelea nn sijui.. Wanatest kila siku makombora ya mapya ya kila aina ww unaongelea matrekta ..