Tim Choice
JF-Expert Member
- Sep 28, 2013
- 2,093
- 1,261
Walishatandikwa kwao na Wasaudi, ummesahau September 11?
Pia walishatandikwa Vietnam, labda ulikuwa hujazaliwa basi hata historia husomi? Pia walitandikwa Somalia mmpaka wakaliwa nyama wakakimbi within 2 weeks, mpaka leo hawana hamu wantuma ndege tu na wanawatumia Wakenya kwenda kuuliwa huko, wao wamebana wanaogopa.
Wamesharejea Somali bibiye jihadi kwa taarifa yako.