Korea Kaskazini: Taifa hatari Kuliko Yote Duniani

Korea Kaskazini: Taifa hatari Kuliko Yote Duniani

wiseboy.

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2014
Posts
2,931
Reaction score
4,550
Leo hii ukimuuliza mtu ni nchi gani ambayo si salama kuishi duniani? Wengi watakuambia ni Somalia ni kweli ila Somalia ni ya tatu duniani kutokuwa salama,North Korea inaongoza.

Wananchi wa taifa hili wanaishi maisha magumu kuliko mwananchi yoyote ktk sayari hii ya dunia,hawaruhusiwi kwa namna yoyote ile kuikosoa serikali na kama ukijaribu basi unafungwa wewe na watoto wako hadi kizazi cha tatu.

Vijana wanafanya kazi bure ktk viwanda vya serikali na migodi na kuishia kula na kutibiwa bila mshahara na unatakiwa ufanye kazi hadi siku ya kufa.

Wanaume wote hawaruhusiwi kunyoa staili zao,wote hutakiwa kunyoa pank kama rais wao Kim Jong Un.

Uuchumi wa taifa hilo unategemea zaidi ktk kuuza silaha kwa mataifa ya ki dikteta na madawa ya kulevya pamoja na Viagra feki.

Rrais wa taifa hilo na baadhi ya viongozi wanaishi maisha ya anasa wakiagiza chakula kutoka nje ili wale wao tu na familia zao.

Wananchi hawaruhusiwi kuwasiliana na watu nje ya taifa lao iwe kwa simu au email,Kim Jong Un ni mlevi na anapenda sana ngono ni katili.
 
Mweee........hawaruhusiwi hata kusafiri.......?..........
 
Kama hamna mawasiliano yaani wananchi wanaishi maisha kama yale ya watanzania miaka ya 1980 wewe au huyo aliyeandika hayo mmejuaje?
 
Napata mashaka na hii taarifa kama source yake ni CNN bac habari hii imetengenezwa Holiwood
 
Kama hamna mawasiliano yaani wananchi wanaishi maisha kama yale ya watanzania miaka ya 1980 wewe au huyo aliyeandika hayo mmejuaje?

Nina tabia ya kujisomea sana ili kuijua dunia,watanzania wenzangu nyie hamna tabia za kujisomea,wengi ni wapenz wa magazeti ya udaku na michezo pamoja na bongo movie,chimbeni mambo kwa ndani dunia ina mengi msiyoyajua.
 
Mweee........hawaruhusiwi hata kusafiri.......?..........

Ushawahi kumwona huyo kiongozi wao kafanya ziara ya kigeni kwenye nchi yoyote ile?

Hao watu wanaishi humo kama mifugo.

Na hawaruhusiwi kuwa na jina lifananalo na la kiongozi wao.

Ni marufuku.
 
aisee yale siyo maisha,nashukuru Mungu sikuzaliwa hiyo nchi
 
Napata mashaka na hii taarifa kama source yake ni CNN bac habari hii imetengenezwa Holiwood

Mkuu umenifanya nicheke,hii habari si ya kutengeneza holly wood,ni kweli kabisa,fuatilia utajua ukweli.
 
Nina tabia ya kujisomea sana ili kuijua dunia,watanzania wenzangu nyie hamna tabia za kujisomea,wengi ni wapenz wa magazeti ya udaku na michezo pamoja na bongo movie,chimbeni mambo kwa ndani dunia ina mengi msiyoyajua.

Hayo unayojisomea mengine ni propaganda tu.
 
Ushawahi kumwona huyo kiongozi wao kafanya ziara ya kigeni kwenye nchi yoyote ile?

Hao watu wanaishi humo kama mifugo.

Na hawaruhusiwi kuwa na jina lifananalo na la kiongozi wao.

Ni marufuku.

Safi sana mkuu,umenena hakika.
 
Hayo unayojisomea mengine ni propaganda tu.

Kama ni propaganda hebu jaribu kwenda Korea Kaskazini uone kama utarudi tena Tanzania,utakamatwa na kuozea jela kwa kosa la kuipeleleza nchi yao,wakati maskini umeenda kutembea tu,watasema umetumwa na Marekani.
 
​nilishangaa Kim kununua dege la kisasa na kifahari......sasa nikajiuliza hili atakuwa anasafiria nalo masafa ya mbali waapi
 
Wengi wetu habari za KK tunazipata hasa kwenye vyombo vya habari vya Magharibi ambavyo vimejikita zaidi katika propaganda na si ukweli.

KK ni moja ya nchi ambayo ina usiri mkubwa sana na sio rahisi kujua wanaishije kama hujawai kufika huko.

Vyombo vya Magharibi haviwezi kumsifia Kim na nchu yake kwa sababu yupo nje ya Mfumo wa Dunia.
 
washaanza wakubwa wanademokrasia pevu kumchokonoa kim.hapo watachemsha
 
Back
Top Bottom