Leo hii ukimuuliza mtu ni nchi gani ambayo si salama kuishi duniani? Wengi watakuambia ni Somalia,ni kweli ila Somalia ni ya tatu duniani kutokuwa salama,North Korea inaongoza,wananchi wa taifa hili wanaishi maisha magumu kuliko mwananchi yoyote ktk sayari hii ya dunia,hawaruhusiwi kwa namna yoyote ile kuikosoa serikali,na kama ukijaribu basi unafungwa wewe na watoto wako hadi kizazi cha tatu,vijana wanafanya kazi bure ktk viwanda vya serikali na migodi na kuishia kula na kutibiwa bila mshahara,na unatakiwa ufanye kazi hadi siku ya kufa,wanaume wote hawaruhusiwi kunyoa staili zao,wote hutakiwa kunyoa pank kama rais wao Kim Jong Un,uchumi wa taifa hilo unategemea zaidi ktk kuuza silaha kwa mataifa ya ki dikteta na madawa ya kulevya pamoja na Viagra feki,rais wa taifa hilo na baadhi ya viongozi wanaishi maisha ya anasa wakiagiza chakula kutoka nje ili wale wao tu na familia zao,wananchi hawaruhusiwi kuwasiliana na watu nje ya taifa lao iwe kwa simu au email,Kim Jong Un ni mlevi na anapenda sana ngono,ni katili.