Korea Kaskazini: Taifa hatari Kuliko Yote Duniani

Korea Kaskazini: Taifa hatari Kuliko Yote Duniani

Mtasikiliza redio na tv za ndani kwao tu, mitandao imekatwa huwezi kupata mitandao kama unavyojiachia sasa
Vipi UN imeshindwa kuingilia kati,watu wa haki za binadamu?jamani wananchi huko wapo jela,siku wakijua kiachoondelea huko duniani lazima watakuja juu tu
 
Mkuu kama hawaruhusiwi kutoa habari au kufanya mawasilano wewe hii habari umeipata vipi? Hukuatarisha maiaha yako?
 
Wengi wetu habari za KK tunazipata hasa kwenye vyombo vya habari vya Magharibi ambavyo vimejikita zaidi katika propaganda na si ukweli.

KK ni moja ya nchi ambayo ina usiri mkubwa sana na sio rahisi kujua wanaishije kama hujawai kufika huko.

Vyombo vya Magharibi haviwezi kumsifia Kim na nchu yake kwa sababu yupo nje ya Mfumo wa Dunia.

Nasikia jamaa anamtishia hadi usa kwa nyuklia zake.
 
Kama ni propaganda hebu jaribu kwenda Korea Kaskazini uone kama utarudi tena Tanzania,utakamatwa na kuozea jela kwa kosa la kuipeleleza nchi yao,wakati maskini umeenda kutembea tu,watasema umetumwa na Marekani.

Huo ndio usalama kwani hakuna wauza unga huko wa kuharibu vizazi/ vijana
 
We acha kuwa na mtazamo potofu, unazani wamarekani wanapenda nchi yeyote dunian kuwa juu yao kwa taarifa za kiusalama, KK ni moja ya nchi zinazohogopwa na kufiwa na marekani, hvyo wanajitaidi kwa namna yeyote ile kuinyong'onyesha serikali hiyo kwa kuichafua

Hapo nitakuelewa maana kwa jinsi walivyo jeuri na kufanya majaribio ya nyuklia,usa ingeshawachapa zamani
 
Ni kweli kabisa, North Korea mtu akipatikana na kosa, basi familia yake yote hadi ndugu wanapewa adhabu sawa na mtenda kosa!

Sheria hiyo ingekuja hapa bongo biashara ya sembe inge isha
 
Propaganda za kuokota kwenye viblogu vya Magharibi vinawadhalilisha wenyewe, zaidi vinakudhalilisha wewe ambae umekubali kilaini bila hata kuhoji mara mbili...
Kama Korea hali ndio hivyo kwanini linakuwa taifa tishio kwa Marekani?
 
Vipi UN imeshindwa kuingilia kati,watu wa haki za binadamu?jamani wananchi huko wapo jela,siku wakijua kiachoondelea huko duniani lazima watakuja juu tu

Watume kwanza UN wakaibane koo marekani kwa mauaj na ukandamizaj wa watu weusi USA is a very uncivilized nation before south korea
 
Wengi wetu habari za KK tunazipata hasa kwenye vyombo vya habari vya Magharibi ambavyo vimejikita zaidi katika propaganda na si ukweli.

KK ni moja ya nchi ambayo ina usiri mkubwa sana na sio rahisi kujua wanaishije kama hujawai kufika huko.

Vyombo vya Magharibi haviwezi kumsifia Kim na nchu yake kwa sababu yupo nje ya Mfumo wa Dunia.

Usisitize 'si kweli' most ya hizo za wamagharibi ni facts na tunaziona ktk picha eg you tube et al. KK Ile sio nchi nzuri,kwani uongo?. Nionyeshe Afrika Mashariki na Kati Ubalozi wa North Korea kwa mfano,sasa kama unakiri IPO nje ya mfumo wa dunia hiyo ni nchi nzuri? Marekani kwa sababu ina intelligence system nzuri that's why tunajua vinginevyo tusingejua lolote Google #north korea parade, kisha check hiyo military parade utagundua kitu au soma hapa http://libertyinnorthkorea.org/why-north-korea/[/url] upate ukweli
Lakini all in all mi nadhani KK sio nchi nzuri ambayo mtu anaweza kusimama aitetee sana,mazuri yake ni machache

Imagine Japan,China,Indonesia,jirani yake SK,America nk wote WaPo kinyume na KK
 
siku zote ukiwa muongo inabidi uwe na uwezo mkubwa wa kukumbuka, hebu nikujibu kwa vielelezo nyeti hoja zako kama ifatavyo.
1.Noth korea kuna vyama vya upinzani kama kawaida na vina ipa changamoto serikali kama kuikosoa kama kawaida.
Political parties in North Korea




Na uchaguzi wa Rais ulifanyika lini Mara ya mwisho ukivishirikisha hivyo vyama:what:
 
sijawahi kusoma thread yoyote ya hiki kiazi nisikute kimeandika uji. unaongelea hii hii dprk ambayo deni lake la kimataifa halifikii hata shilingi 2500 za kitanzania?? yani kipisi kimoja tu cha hili bange ulilokunywa kinatosha kulipa deni la nchi, pata picha.
 
Back
Top Bottom