fact only
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 975
- 1,356
- Thread starter
- #81
Watu wa design hii sijui wanashida gani Mkuu wanafanya tushidwe kusaidiana Kwa mambo serious.1.Nimebwagiwa simu ya tachi kwa elfu 20 kwa ahadi ya kulipa ndani ya wiki moja lakini mwezi unakata sasa na yupo kimya tu.
2.Mwengine mpangaji mwezangu naye mwaka unakakaribia kukata kwa ahadi ya wiki moja atarejesha,nimebaki namwangalia tu na alivyo kauzu akipataga changamoto ananikimbilia vidogo nam save vikubwa namwambia sina ata kama ninacho.