Noma Sana Mkuu wanakuwa wapole wakishapata kibunda jeuri sijui ni matatizo ya afya ya akili au umasikini I don't know.Kumkopesha mtu shida sana,
Mimi wiki kama 2 kuna jamaa alinifata home usiku akaniomba nimsaidoe kiasi kidogo cha fedha alikuwa mpole sana na mnyenyekevu nikamwambia sina.
Akanifata tena siku iliyofata akiwa na mtoto wake anatia huruma kwamba mtoto anaumwa akanisisitiza nimkopeshe atanirudishia baada ya wiki moja.
Imefika wiki simuoni nikaanza kumtafuta nikikutana naye ananiambia hana hela hajapata. Ananiahidi kesho ,ikifika hiyo kesho aliyosema haji naanza kumtafuta nikimpata ananijibu hajapata ananipa ahadi ambazo hatekelezi.
Yaani ikawa mimi ndio namtafuta namdai .
Jinsi ambavyo sipendi kufatilia watu nimeamua kumchunia kila akiniona anajistukia saa nyingine anajificha wakati mimi nishamuona na mimi nampotezea.
Kukopesha watu imekuwa jau sana .
Unapata kazi ya kuanza kumfatilia akulipe wakati alipokuwa anashida yeye ndiye alikutafuta
Hakika Mkuu noma Sana.Wabongo bado tuna shida sana, unakopesha una leseni? Ukimpa mtu mali yako binafsi ni kwamba umedonate, kama mtu anataka mkopo aende kwa wakopeshaji rasmi waliosaijiliwa ukijipendekeza umeliwa tu na futa kwenye vitabu vyako! Wakilipa ujue ni waungwana na wanakuheshimu sana
Bora lawamaKumkopesha mtu shida sana,
Mimi wiki kama 2 kuna jamaa alinifata home usiku akaniomba nimsaidoe kiasi kidogo cha fedha alikuwa mpole sana na mnyenyekevu nikamwambia sina.
Akanifata tena siku iliyofata akiwa na mtoto wake anatia huruma kwamba mtoto anaumwa akanisisitiza nimkopeshe atanirudishia baada ya wiki moja.
Imefika wiki simuoni nikaanza kumtafuta nikikutana naye ananiambia hana hela hajapata. Ananiahidi kesho ,ikifika hiyo kesho aliyosema haji naanza kumtafuta nikimpata ananijibu hajapata ananipa ahadi ambazo hatekelezi.
Yaani ikawa mimi ndio namtafuta namdai .
Jinsi ambavyo sipendi kufatilia watu nimeamua kumchunia kila akiniona anajistukia saa nyingine anajificha wakati mimi nishamuona na mimi nampotezea.
Kukopesha watu imekuwa jau sana .
Unapata kazi ya kuanza kumfatilia akulipe wakati alipokuwa anashida yeye ndiye alikutafuta
Aisee noma Sana Mkuu tutakuwa tunashindwa kusaidiana kisa kukosa uaminifu Mdogo Mdogo.Kwa uzoefu wangu, ni asilimia 10 tu (au pungufu) ya watu ambao unaweza kuwakopesha na wakarudisha kwa wakati bila tatizo. Waliobaki, kuna mawili, ama usirudishiwe kabisa, au urudishiwe baada ya kugombana sana!!