Tufanyaje mkuu?bado mnakopeshaga tu🤔😳😳
Unakuta ni mtu wako wa karibu na mna heshimiana amefikwa na jambo, tuache kuwasaidia?
Tufanyaje mkuu?bado mnakopeshaga tu🤔😳😳
Kwanini unawazungusha sasa?Jinsi ninavyowazungusha wanaonidai ,kiukweli na mimi siwezi kumkopesha mtu yeyote maana sisi binadamu ni wasumbufu sana kulipa deni
Siji kurudia kukopesha hata unambie unatoka figo.Wakuu Kama title inavyo sema kopesha ushangazwe. Mimi nimeshangazwa wiki hii na wadaiwa wangu(kuonekana mbaya kudai changu).
Naomba experience yenu nyinyi ambao tayari mlishawahi kukopesha na mkashangazwa na mli handle vipi?.
Kabisa. Nilishaacha kukopesha binadamu. Labda nikupe pesa bure. Kama unataka mkopo nenda kwenye taasisi za kifedha au VICOBA.Pole sana mkuu. Ni heri uonekane una roho mbaya tu kuliko kukopesha walimwengu
Huyu mmoja alianza dharau aliponikopesha elfu mbili ili niongeze bia pale kitelewasi taarifa nikazikuta kwa work mate wangu tena wakiwa wananicheka eti naenda bar na hela pungufu ni hapo najaribu kumfundisha kuwa dunia ina pande mbili ndugu .Kwanini unawazungusha sasa?
😂😂😂 nacheka kama mazuri ..ila jamani ni shida tu hamna mtu anapenda kero za madeni labda ana matatizo ya aliliJinsi ninavyowazungusha wanaonidai ,kiukweli na mimi siwezi kumkopesha mtu yeyote maana sisi binadamu ni wasumbufu sana kulipa deni
🤣🤣🤣Huyu mmoja alianza dharau aliponikopesha elfu mbili ili niongeze bia pale kitelewasi taarifa nikazikuta kwa work mate wangu tena wakiwa wananicheka eti naenda bar na hela pungufu ni hapo najaribu kumfundisha kuwa dunia ina pande mbili ndugu .
Huyu mwingine ningemlipa ila shida akipiga simu kunidai hela yake hakuwahi kunisalimia ilihali namzidi umri na cheo hivyo namfundisha kuwa na heshima
Weee, kuna watu experts wa kukopa na kutokulipa kwa makusudi. Anadaiwa na watu kama 100 hivi halafu hajali wala nini 😀😀😀😂😂😂 nacheka kama mazuri ..ila jamani ni shida tu hamna mtu anapenda kero za madeni labda ana matatizo ya alili
Mh dada unaweza kudhani uwa hawajali ila ukweli ni kuwa wanajali sana ndiyo maana utakuta kama ni mwanaume anaotwa na tambi tepetepe maana akiwa na stress za deni njaa haikawii ,hivyo kila muda nikula tu .Weee, kuna watu experts wa kukopa na kutokulipa kwa makusudi. Anadaiwa na watu kama 100 hivi halafu hajali wala nini 😀😀😀
Hapo lazima mkopaji agairi kukopa😁😁😁Mm baada ya kuzungushwa na ninao wadai nimeamua.
Anayetaka kukopa kwangu kama mwanaume lazima aache mkewe kwangu nikae naye kwa muda anaokaa na pesa yangu.
Kama mi mwanamke naye awe radhi kukaa kwangu kwa muda anaokaa na pesa yangu hadi atakaporudisha pesa yangu.
Wahenga walishapata kusema kukopa harusi kulipa matanga.
Wabongo almost wote wakisha kopa pesa huwa hawaangalii tena nyuma ni sawa na amejisaidia "kimba" gumu/kavu.
Nawaz kumnyandulia mke mden wangu maana kanisumbua sanaUkitaka kugombana na watu "kopesha"
Biashara ya kukopesha isiyofuata sheria ni utapeli na pia hauwezi kutoboa kwa biashara hiyo.Wakuu Kama title inavyo sema kopesha ushangazwe. Mimi nimeshangazwa wiki hii na wadaiwa wangu(kuonekana mbaya kudai changu).
Naomba experience yenu nyinyi ambao tayari mlishawahi kukopesha na mkashangazwa na mli handle vipi?.
Wengine wanakopa, na ole wako umdai utachezea matusi si ya nchi hii. Wamekaa kama matapeli kila kona wanadaiwaMh dada unaweza kudhani uwa hawajali ila ukweli ni kuwa wanajali sana ndiyo maana utakuta kama ni mwanaume anaotwa na tambi tepetepe maana akiwa na stress za deni njaa haikawii ,hivyo kila muda nikula tu .
Note :uchunguzi huu nimeufanya mimi mwenyewe kupitia madeni niliyonayo