Kongosho!!

Mimba inamsumbua! Fulltime inataka "Maziwa-mgando" akishajiopen utamuona tu!
dah basi nna kazi!
mpaka miezi tisa iishe na kama ndo kamtu kamechukia jf !
uuuuuwih! Kongosho i miss yu jamani!
NIMEKUMISS MPAKA MACHO YANAWASHA!
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
It's good to be missed jamani.

Nilikuwa nachungulia kidogo kidogo sana, nilikuwa nje ya netwek ya laptop. Only kamchina kangu kalikuwa kananisaidia kuingia hapa once in a while. Hata mie niliwamiss sana isipokuwa Bishanga.

As for watu8, sikumbuki kukuchunia popote, ujue wewe ni daktari? Inawezekana siku hiyo ukawa zamu wakati wa kuji-open, nitakuchukiaje sasa? Jee ukinichoma fenegani badala ya kristapeni?
 
Last edited by a moderator:
As for watu8, sikumbuki kukuchunia popote, ujue wewe ni daktari? Inawezekana siku hiyo ukawa zamu wakati wa kuji-open, nitakuchukiaje sasa? Jee ukinichoma fenegani badala ya kristapeni?

Hujambo Konnie?

Hahahah unayakumbuka hayo maneno....maana nakumbuka liBishanga likanipiga mkwara siku hiyo
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…