Ukinikuta na Ricky jua nakuonjea chumvi tu.
Usiwe unamuwekea magadi, afu hajakolea limao na pilipili.
Debe 2 za limao zitatosha.
Kongosho acha kuniharibia...we baki na akina Bishanga wazee wenzako mi niache na ma Miss saizi yangu lolUkinikuta na Ricky jua nakuonjea chumvi tu.
Usiwe unamuwekea magadi, afu hajakolea limao na pilipili.
Debe 2 za limao zitatosha.
Hahaaaa burudani sana humu ndani,ngoja niiongeze kwenye list yangu
Hahahahahaa Cantalisia hii Guest yetu kiukweli iko mtaa fulani kule Mtwara karibu na janisa katoriki....
Nilikuwaga nikipita pale lazma nishangae sana
unadhani kuandaa mei mosi kazi ndogo? Ukizingatia prezidaa anakuja?
afu fellow tablet ana msumari wa nchi 20, sikujua lol. Unatoboa hadi kuta za mawe.
Namaanisha nchi(counties) zimetajwa ya kwanza ikiwa china, Tz, afganistani na kazalika.
Hahahaha!Shem cpati picha wenyeji wa huko namna wanavoipronauns lol!hahahaha ucntaje mie nimetoa tu mfano lol!
Ndo mana sielewagi,konnie ni He au She?
Hahhahaaaa hadi NKUU WA NKOA NI NKE WA NTU