kongosho kongosho kongosho................

kongosho kongosho kongosho................

happy belated birthday kongosho! may u live to blow 500 candles! lol
 
unataka kumpa nani jamani wakati mie sweetpotato wako nipo?




Hivi we BADILI TABIA, bado hujajua kuwa Kongosho alishanipiga chini? Hivi niko kwenye mchakato wa kutafuta mbadala. Nchagulie wa kumpa hiyo makitu.

Happy Birthday Kongosho. Mungu akubariki na kukulinda upate watoto wengi waizunguke meza yako wakati wa chakula cha mchana. Akulinde ili mpaka siku utakayo RIP wanao 12 waweke mishumaa 12 kwenye kaburi lako. Karibu kwenye chama chetu cha wanaolikimbilia kaburi.

BTW Ushaanza mazoezi ya kupunguza uzito? Presha si ugonjwa mzuri.
554468_387375901314569_100001264865463_1224629_385008229_n.jpg

attachment.php
 
Wala hujachelewa, ni leyo leyo

Sumu orijino toka Ujeruman kwa bei chee na wala haijachakachuliwa kabisa.

Asante cacico

happy belated birthday kongosho! may u live to blow 500 candles! lol
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha ha, zama za King'asti zishapita

Sasa nasonga mbele tu
From bottom to top
From a nobody to somebody
From Ubaruku, now na-run show ya kijanja town

Ngoja nimwite babu Dark City anene na wewe kidogo jinsi ya luwasend off wajukuu lol

Huyo ndo Konnie bana. Unaweza mtofautisha na enzi hizo akiwa housegirl wa King'asti. Chezeya Mchina?
attachment.php
 
Last edited by a moderator:
HAPPY BIRTHDAY Kongosho Mpendwa!
Mungu akujaalie umri mkubwa uliobarikiwa
AFYA, BAHATI NZURI na FURAHA TELE.

Asante MAMMAMIA, nimependa ulivyoiweka afya mwanzo
Hata mie naamini bila afya nzuri mambo mengine huenda mrama

jamani Kongosho sirudii tena, ndoa tamu we acha tu...., Buchanan mpz usimsikilize konnie, tulikuwa tunachangamsha midomo tu...usiku silali ila nakuota wewe...

Mwaya simwiti swit hat wako lol
Tulikuwa tunacheza tu
 
Huyo ndo Konnie bana. Unaweza mtofautisha na enzi hizo akiwa housegirl wa King'asti. Chezeya Mchina?
attachment.php
Duh....mshikaki hadi mgongoni! Hongera King'asti unatiza kanuni ya nendeni mkaijaze nchi.
Kongosho HBD mungu akupe umri mrefu mpaka uwe unageuzwa kindani na vitukuu huku umetobolewa tundu juu ya dari.
 
Last edited by a moderator:
Happy belated Birthday MAMMAMIA
Ungesema basi tukanywa hata wanzuki lol
Ah ndugu yangu we, mimi mwenyewe kam si hii mitandao ya jamii iliyonikumbusha wala nisingekumbuka. Subiri bado kidogo (nikijaaliwa kufika) nitapuliza mishumaa 100 nitawaalikeni nyote.
 
Hivi we BADILI TABIA, bado hujajua kuwa Kongosho alishanipiga chini? Hivi niko kwenye mchakato wa kutafuta mbadala. Nchagulie wa kumpa hiyo makitu.

Happy Birthday Kongosho. Mungu akubariki na kukulinda upate watoto wengi waizunguke meza yako wakati wa chakula cha mchana. Akulinde ili mpaka siku utakayo RIP wanao 12 waweke mishumaa 12 kwenye kaburi lako. Karibu kwenye chama chetu cha wanaolikimbilia kaburi.

BTW Ushaanza mazoezi ya kupunguza uzito? Presha si ugonjwa mzuri.
554468_387375901314569_100001264865463_1224629_385008229_n.jpg

attachment.php

dah! Asprin kiboko!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom