kongosho kongosho kongosho................

Hiyo sentensi ya kwanza inakupa majibu yote
Kwani na wewe huwa anakuita hivyo?

Kama anakuita hivyo basi lalamika kwa kweli.

Happy belated birthday Mamndenyi, ukue kama mlingoti

Yaani nina hasira heri niseme tu ili yaishe,
mie tarehe 15 birthday yangu ilipita kavu kavu
kwanini Theboss akuanzishie uzi wewe Kongosho.

Ukinipa jibu tu ndo walauuuuu.
 
Last edited by a moderator:
Happy belated birthday Konnie, ni matumaini yangu kuwa ulijivinjari vya kutosha na naniliu bada ya kumalizana na Bishanga
 
asante, the same to you!

Huyu Bishanga ana povu tu nimpeleke wapi?

Kwa taarifa yako bishanga huwezi hata chavusha maua hata nyuko wanakushinda kuzalisha.

Happy belated birthday Konnie, ni matumaini yangu kuwa ulijivinjari vya kutosha na naniliu bada ya kumalizana na Bishanga
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom