Tatizo lako we BADILI TABIA hutabiriki bana..... Sasa huyo aliye nyuma yako ni nani? Hujaachana na MziziMkavu au?
![]()
darling usiwe na hofu, si unajua mambo ya mziki? hapo tulikuwa kwenye mduara tu... usihofu mie wako peke yako...
Happy birthday dear, Mungu akupe maisha marefu yenye afya, furaha na amani..........uje kuwaona watoto wa watoto wako. Ubarikiwe mpaka ushangae.
Oh my sweetie thanks. Nakupitia twenzetu kujipumzisha hapa...
![]()
Thubutu weeeee, utaiona jf chungu nakwambia!!! BishangaNakuandalia zengwe.....we subiri tu.
hahaha thanx is enuf konnie!Asante Mwanamke wa kwanza, hivi nijibu the same to U?
Asante, the same to you 🙂.
hahaha thanx is enuf konnie!
hey enjoy ya day......!
Ung'eng'e wito lol
Mie mkubwa sana kukata keki, nakata kiuno tu lol
Asante ynnah.
Mh!! Yani nimeishia kuguna tu.... Hongera zake The Boss
Ha ha ha ha ha, ynnah naona umeogopa.