Kongosho, JF Member

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,879
155,845
Jamani naombeni msaada kwa anayemfahamu@Kongosho?
Nashindwa kuelewa, je ni mwanamume au mwanamke?
Msaada kwenye tuta plizzzzz kabla sijajiingiza ki kichwakichwa
 
Usiogope kuingia kichwakichwa. Siku hizi ukitupa mshipi umnasa kasa wamchukua na ukinasa kobe pia wamchukua.
 
Wee Bujibuji, unataka kuona mkonga wa tembo??Au unataka kuona bonde la ufa??Chaguo ni lako, 2012
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom