Kongosho:Am so down for you

Kongosho:Am so down for you

Attention
jinsia -ni mgawanyo wa majukumu ktk jamii mf- kuchota maji,kupika,
kutafta mkate wa familia.
Jinsi-ni tofauti za kimaumbile mf huyu me yule ke.
 
ulikuwa wewe ni nini?
mbona husahau?lol

Yaani thinking about it, unapata picha hawa wenzetu wanaturate vipi kwen vidate

sasa hapa hiki cha kuibia na Kabakabana....inabidi nimtahadharishe tu lol

afu kwa nini walikuandama hivi kwen ile sredi? unasingiziwa vingi sana aisee
 
wenyewe wanasema i am the number one suspect here lol
mimi gx sioni kashfa...milioni 12 wangapi wanazo?
mimi nina ki bajaj na na date mpaka wabunge wa viti maalum lol
 
Back
Top Bottom