mimi nipo kitandani nimejilaza tu!!!Nyie watu hamlali???
Au hamna dada wa kulaza watoto wakubwa?
muulizeni King'asti..............lol
Nimeshindwa hata kulala namuwaza huyu mtu!Nachoomba ni kimoja tu kutoka kwake,ataje jinsia yake kama ni mwanamke nitaendelea kumuapreciate kama kawaida, na kama ni mwanaume walahi tena napeleka posa.
Nyie watu hamlali???
Au hamna dada wa kulaza watoto wakubwa?
Nyie watu hamlali???
Au hamna dada wa kulaza watoto wakubwa?
mimi nipo kitandani nimejilaza tu!!!
Toooba!
niulizwe nini tena mie? Usintie mashakani babu weye,lol!
Tulale halafu tushindwe kufanya live broadcasting ya tukio hili? toa jibu basi, acha zile tabia mbaya za kudengua za The Boss.
Mmmmh, yaani nna hasira na wewe!!!
Kumbe wewe ndo unaye....
Nikikushikwa, utajua kama banghe zangu ni za Lushoto au Arusha au Tarime
Hello cuteface!
Hizo dalili za kuwa na pepo.
duh,.. ,watu wanapendana humu!!!hebu nirudi jukwaa la elimu.mi msongo mapenzi siyajui,kwanza kwetu mbagala
Kaazi kweli kweli ukiwa na chuki, btw unachukuwa credit ya source ya hilo neno "kaazi kweli kweli" na wakati liko humu toka hata hujajiunga.Kaaazi kweli kweli.
Kaazi kweli kweli ukiwa na chuki, btw unachukuwa credit ya source ya hilo neno "kaazi kweli kweli" na wakati liko humu toka hata hujajiunga.
Ungekubali tu kuwa source ni JF, ndo uungwana, sasa too much of anything is harmful.
You have issues!!!
Maswala ya chuki yametoka wapi?Au ni namna ya kusema wewe unayo.
Na hayo ya source nayo? Kuna sehemu umeona nimeandika mimi ndie niliyeanzisha? Acha kukurupuka, na kama una matatizo binafsi deal with them sio unataka kuhamishia stress zako kwa watu wengine.
Sina chuki hata kidogo, ulisema humpendi Kongosho, si maneno yangu.You have issues!!!
Maswala ya chuki yametoka wapi?Au ni namna ya kusema wewe unayo.
Na hayo ya source nayo? Kuna sehemu umeona nimeandika mimi ndie niliyeanzisha? Acha kukurupuka, na kama una matatizo binafsi deal with them sio unataka kuhamishia stress zako kwa watu wengine.