Kabakabana
JF-Expert Member
- Aug 5, 2011
- 5,550
- 1,166
- Thread starter
- #321
unataka kujaribu?jaribu utaona kumbe dawa ya moto ni maji na wala sio moto kama ambavyo ulikua ukidanganya huko nyuma!
sijawahi kudanganya hivyo
unataka kujaribu?jaribu utaona kumbe dawa ya moto ni maji na wala sio moto kama ambavyo ulikua ukidanganya huko nyuma!
My hands don't touch everything that moves. . .
Alafu naona kama kauchochezi flani hivi. Ngoja niende zangu!!
sijawahi kudanganya hivyo
una bahati sana aisee..
sio bahati.
sio bahati.
Poa!!
Nasubiria lile darasa la urembo.
hahahaha wala sio uchochezi,ni analysis usiogope
urembo upi wa wapi tena mwaya mbona umekamilika kwa muonekano wa nje?
Si ule wa kiuno jamani. Nipake nini? Nivae nini? Nikitunze vipi?
Alaaa kumbe,kwanza upakwe mafuta ya nazi,narudia tena "upakwe"..........unae mpakaji lakini?
Hapo...lizzy,seems like you know this guy!lol
ila majaaliwa sio?
Tuiitaje basi mwaya,sema basi
Hiyo siyo analysis,it's not even an observation. Bali ni uchochezi unaotaka majibu kama"ehhh, ningempiga kabisa mjinga huyu" .
Hapo...
wala ndo tatizo la kuwa na majibu yako mwenyewe kichwani,never meant any harm i never do
Kumbe nilitakiwa niwe na majibu ya nani kichwani?
Ukiweza kunipa maana ya analysis inayoendana na ulichoandika ntaacha kuwa na majibu yangu niwe na yako.
Baada ya hapo ukiwa unameremeta mwenyewe na mafuta yako ya nazi usimame wima,kisha uanze kuzichora tarakimu ukianza na moja mpaka kumi sio kwa hizi pen zenu za huko university aah aah bali wazichora kwa iko kiuno chako ati...yani u start 1 unaichora as it is kwa kiuno,unaendelea 2,3,4,5,6,7,8,9..10 unazifuatisha kama zilivyo kwa kiuno,sifuri inasumbuaga kidogo but kazana..Hahahaha. . . yupo!!
Baada ya hapo. . . . ?