Kabakabana
JF-Expert Member
- Aug 5, 2011
- 5,550
- 1,166
Hivi kwa nini kuna interest ya kutaka kujua jinsia ya Kongosho?
Kuna thread mbili za kundondokea kongosha ... Alafu hujui jinsia yake sasa sijui ..umemzimikia vipi.. hongera though
moyo wangu umemdondokea NN
Halaf mbona ukimsoma tu kongosho unajua ni jinsia gani, seems like we dont have gender- genius in this forumHivi kwa nini kuna interest ya kutaka kujua jinsia ya Kongosho?
Dah! kabakabana bana!
Wewe mwenyewe ni jinsia gani?
She is so special.kafanya nini?
Halaf mbona ukimsoma tu kongosho unajua ni jinsia gani, seems like we dont have gender- genius in this forum
She is so special.
whaaaat?cant believe am hearing this from u
Sasa kama mwenyewe kaamua kujiweka controversy kwanini mimi nimweke plain bana. Think! kabana think.please please niPM basi this matter is very crucial
wow she is blushing right now,.halafu dawa tamu haulali? Au umeota unakimbizwa?
Are you offended?
Sasa kama mwenyewe kaamua kujiweka controversy kwanini mimi nimweke plain bana. Think! kabana think.
Hongera kwa kufunguka mwaya... atakuja mewnyewe kujibu thread yake. Ila usitegemee kupewa jibu kuhusu jinsia hapa jamvini.