Kongamano la Katiba mpya lafanyika Tarime kwa amani na utulivu

Naomba kuelimishwa tafadhali,

Kwenye ayo makongamano inatolewa elimu kuhusu umuhimu wa katiba mpya? Nakama ndio vipi kuhusu wasio wanachadema na wasio na vyama? Wao wanafikiwaje ili wapate elimu iyo?

Kuna mikakati ipi kuhakikisha wananchi wote kiujumla wanaelewa iki kinachoitwa hitaji lao? Maana hili swala la katiba mpya linajadiliwa sana mitandaoni ila ukitembelea sehemu ambazo watu hukusanyika kwa wingi hili jambo wananchi hawalichukulii kama kipaumbele na nijambo linaloonekana kutokuwa na uzito kabisaa.
 
Kila mtanzania anataka katiba mpya , ila wananchi hawajadili mitaani kukwepa kutekwa
 
Siku zote tumesema humu na kurudia mara nyingi sana kwamba , HAKUNA MAHALI POPOTE KATIKA DUNIA HII AMBAPO SHETANI ALIWAHI KUMSHINDA MUNGU , japo wapagani wametupuuza mara zote lakini ukweli huu hauwezi kupingwa .

Pamoja na RC wa Mara kumwaga majeshi yote barabarani na mitaani , ikiwa ni pamoja na kulinda ofisi ya Chadema Musoma Mjini kwa masaa yote , lakini Kongamano la Katiba Mpya limefana kupita maelezo huko Tarime , halafu hakuna amani yoyote iliyotoweka , ilikuwa mada juu ya mada , hawa wanaosema kongamano linavuruga amani ni WAONGO .

Ushahidi huu hapa

View attachment 1924002View attachment 1924001View attachment 1924000
Polisi inaweza kutumia picha hizi kuwatafuta kwa kusababisha vurugu na uharibifu wa mali siku ya usafi.
 
Hats UDSM katika kitivo cha Sheri's Kuna majadiliano Kila simu kuhusu Katiba,hakuna amani inayovurugika.
Baada ya muda mfupi wahubiri wengi watapanda kwenye majukwaa kutoa kbutba,ambayo pia ni Katiba.
 
Safi Chadema ndio inatakiwa iwe hivyo,mtu mwenye akili ndogo ni wa kuzungushwa tu maana hana uwezo wa kushindana na akili kubwa

Sasa tuwaulize intelijensia ya Polisi ambayo huwa wanaisema leo illikuwa wapi?

Itakuwa ilikuwa bagamoyo kwenye Royal Palm
 
Kwa umati huu tunatosha sana kupata katiba mpya:

Katiba Mpya: Mapambano yako katika Hatua za Mwisho

"Ni wazi kuwa hayupo mtanzania mwenye akili timamu anayeweza kuyapinga mahitajio ya katiba mpya au hata kutokuwa sehemu ya jitihada hizo.

Wenye maslahi na mfumo uliopo hatuna haja ya kupoteza nao muda kujaribu kuwaelimisha. Hao ndiyo walio kizingiti pekee."
 
Chadema imo mioyoni mwa Watanzania hiyo kuiua kama wanavyotaka maccm KAMWE HAITAWEZEKANA.
Kwa umati huu tunatosha sana kupata katiba mpya:

Katiba Mpya: Mapambano yako katika Hatua za Mwisho

"Ni wazi kuwa hayupo mtanzania mwenye akili timamu anayeweza kuyapinga mahitajio ya katiba au hata kutokuwa sehemu ya jitihada hizo.

Wenye maslahi na mfumo uliopo hatuna haja ya kupoteza nao muda kujaribu kuwaelimisha. Hao ndiyo walio kizingiti pekee."
 
Back
Top Bottom