Kongamano la BAVICHA taifa tar 09 Desemba,2013 Landmark hotel!

Baraza la vijana wa chadema (BAVICHA)- TAIFA, na CHASO DAR ES SAAm Linakualika kuhudhuria Kongamano kubwa la vijana mkoa wa Dar-es-salaam siku ya j'tatu th 9'Dec'2013. "UHURU DAY" kuanzia saa 03:00asubuhi LAND MARK HOTEL- UBUNGO,mgeni rasmi anatarajiwa kua Mh. Freeman Mbowe (M/kiti CHADEMA -Taifa) wageni wengine ni Mh. Mabere Malando (Makamo m/kiti kanda ya Pwani) na Mh. John Mnyika (MB Ubungo)- WAJULISHE WENGINE.pia kutakuwa na uzinduzi wa albam ya LILIAN WASIRI kwaheri ccm

View attachment 125556
 
BAVICHA NDIYO TAASISI PEKEE ya VIJANA INAYOVUMA EAST AND CENTRAL AFRICA ! UKISIKIA WENGINE UJUE KUNA NGUMI , KISA ! POSHO!
 
yule mwkt wa bavicha hivi kweli anaitwa nani?
mbona simsikii hapa?
wadau si kwa ubaya naomba mnisaidie kujua kama yupo ama ni wale akina m
 
“Sasa unaachaje
kumsikiliza huyu na ukamsikiliza zaidi mtu ambaye hana sifa za
kimageuzi katika ngazi ya kitaifa? Wanaozua tuhuma dhidi ya wenzao
hawana hata miaka mitano ndani ya chama?
“Labda nikupe mfano mzuri. Hivi unategemea leo, CCM kwa mfano, eti
akina Richard Tambwe Hizza, waanzishe mkakati wa kumng’oa kwenye chama
mtu kama Kingunge Ngombale Mwiru kwa madai ni msaliti? Haya mambo yako
CHADEMA tu,” alisema mwanasiasa huyo

Wewe una miaka zaidi ya mitano ila ndio hivyo tena, umeamua kukiuza chama ili upate pesa. hivyo wasio na miaka mi 5 lazima wakushughulikie.

"Actions speaks louder than words"
 
Back
Top Bottom