Kongamano la BAVICHA taifa tar 09 Desemba,2013 Landmark hotel!

yule mwkt wa bavicha hivi kweli anaitwa nani?
mbona simsikii hapa?
wadau si kwa ubaya naomba mnisaidie kujua kama yupo ama ni wale akina m
kazi hizi zinafanywa na sekretariet ya bavicha na sio m/kiti bavicha ni taasisi kubwa
 
Sasa bango la nini wakati hamtashiriki katika shetehe za uhuru, nyie mtakuwa kwenye kongamono, naomba niseme bila kuwa bias huu ni unafiki ea kuonyesha mnaipenda Tanganyika
 
Back
Top Bottom