Kondomu yavunja ndoa. Huu ni wivu au umakini katika ndoa???

PMNBuko

JF-Expert Member
Dec 27, 2010
967
154
Kuna familia moja hapa niishipo ndoa yao imevunjika baada ya mwanamke kukuta pieces 2 za kondomu ndani ya suruali ya mume wake. Hadi sasa ni mwezi mmoja umepita tokea kizungumkuti hicho kitokee. Juhudi za kusuluhisha tatizo hilo zinaendelea nami nikiwemo, lakini bado mke hajaridhia kurudi. Je, wanaJF huu ni wivu au ni umakini wa mwanamke ndani ya ndoa yake??? Nawasilisha!!! Karibu!!!
 
Haaaaa! Hizo ndoms zimefata nini sasa.
Mbona wanaume mnapenda kutuchokoza lakini?
Zilikuwa zimetumika au?
Huyo mzee kajiteteaje sasa? Au amebaki anang'aa sharubu?
 
Ila katika hali ya sasa, inaonekana jinsi mume alivyo makini... sababu mechi viwanja vya ugenini mara mojamoja zipo, sasa mke alitaka awe anacheza pekupeku au??? :coffee:
 
Mke anajesheua tu. Kwani yy hajawahi mechi ugenini? Yawezekana bila hata ndom
 
Huyo mke alikuwa anataka kuachika muda mrefu kwa hiyo ndo amepata nafasi. lakini na wewe kaka kwanini usiwe makini? Vikondomu vyenyewe vya mia tano tano kwanini uvitunze mfukoni? Pumbavu - wakati wako wa kulala kisungura ndo umefika
 
Duh!
 
Haaaaa! Hizo ndoms zimefata nini sasa.
Mbona wanaume mnapenda kutuchokoza lakini?
Zilikuwa zimetumika au?
Huyo mzee kajiteteaje sasa? Au amebaki anang'aa sharubu?

Mume kasema, eti baada ya kuona wamezaa watoto wawili bila kuweka intervals nzuri kwa maana ya kutofuata mpango mzuri wa uzazi, alikwenda kwa Daktari kuomba kondomu, ndipo alikuta zimekwisha ila kaambulia pisi 2 tu.
 
mm nawaambia kila siku ndoa zimepitwa na wakati, wazungu walishaliona hilo mapema sisi tunabaki tunatoana ngeu!
 
wanawake inabidi mkikuta condom ndani ya nguo za waume zenu mtoe hadi sadaka ...this shows that your husband care
 
Huyo mke alikuwa anataka kuachika muda mrefu kwa hiyo ndo amepata nafasi. lakini na wewe kaka kwanini usiwe makini? Vikondomu vyenyewe vya mia tano tano kwanini uvitunze mfukoni? Pumbavu - wakati wako wa kulala kisungura ndo umefika

Mkuu, samahani, siyo mimi, ila natumika kama mmoja wa washauri ili kunusuru ndoa tu. Jamaa anadai alizileta makusudi kwa ajili ya kupanga uzazi. Na zilikuwa kwenye pakti ila only 2 pieces!!!
 
wanawake inabidi mkikuta condom ndani ya nguo za waume zenu mtoe hadi sadaka ...this shows that your husband care

Unamaanisha kuwa ni Ruksa ku-do majamboz nje ya ndoa???????????
 
Hakuna cha wivu hapo,ndo umakini wenyewe,wanaume acheni uzinzi nje ya ndoa zenu,kama huwezi usioe,mnakula viapo mbele ya Mungu then mnaendelea na uchafu wenu ndani ya ndoa......ila bora na huyo anajali,mingine inasahau hata kwamba inahatarisha maisha ya wake zao,inaweza waacha watoto yatima na kuwapa shida wale wote wanaomtegemea na kumtegemea huyo mama.......
The bad thing ni kuwa sasa hivi ni kitu cha kawaida.......halafu mbaya ni pale unapokutana na jianaume linalo-assume na wewe unacheat..:A S 20:
 
ni pm namba yako nikuewekee salio kwenye simu bibie.....nadhani hiyo sehemu niliyobold ni point kubwa sana na hakuna mtu atakayebisha
 
Mkuu, samahani, siyo mimi, ila natumika kama mmoja wa washauri ili kunusuru ndoa tu. Jamaa anadai alizileta makusudi kwa ajili ya kupanga uzazi. Na zilikuwa kwenye pakti ila only 2 pieces!!!

hayo ni matumizi sahihi lakini ilihitaji wawe wamejadili awali,vinginevyo lazima ahamaki kkwa kuhisi zilisahaulika!!
Ndoa is sharing!!
 
Hakuna cha wivu hapo,ndo umakini wenyewe,wanaume acheni uzinzi nje ya ndoa zenu,kama huwezi usioe,mnakula viapo mbele ya Mungu then mnaendelea na uchafu wenu ndani ya ndoa......ila bora na huyo anajali,mingine inasahau hata kwamba inahatarisha maisha ya wake zao,inaweza waacha watoto yatima na kuwapa shida wale wote wanaomtegemea na kumtegemea huyo mama.......
The bad thing ni kuwa sasa hivi ni kitu cha kawaida.......halafu mbaya ni pale unapokutana na jianaume linalo-assume na wewe unacheat..:A S 20:

Kama siyo wivu kwanini usiamini kuwa kweli kazitoa hospitali hizo kondomu????
 
Hakuna cha wivu hapo,ndo umakini wenyewe,wanaume acheni uzinzi nje ya ndoa zenu,kama huwezi usioe,mnakula viapo mbele ya Mungu then mnaendelea na uchafu wenu ndani ya ndoa......ila bora na huyo anajali,mingine inasahau hata kwamba inahatarisha maisha ya wake zao,inaweza waacha watoto yatima na kuwapa shida wale wote wanaomtegemea na kumtegemea huyo mama.......
The bad thing ni kuwa sasa hivi ni kitu cha kawaida.......halafu mbaya ni pale unapokutana na jianaume linalo-assume na wewe unacheat..:A S 20:

Je wewe unadhani utamkuta mwanaume aliye straight atakaye kuambia kwamba anakwenda ku-do! subiri :clap2:
 
Back
Top Bottom